Hii hapa Dawa ya Panya Road

Hii hapa Dawa ya Panya Road

Umemwelewa lakini au ndio watetezi wa Wahalifu na kuwachukia Polisi? Ni wanasiasa TU ndio hua wanaonewa na Polisi lakini sio vibaka. Vibaka na Majambazi wanajulijana ndio maana wakikamatwa na kufungwa mitaa inakua salama.Wakiachiwa Hali ya uhalifu inarudi.

Wewe hujiulizi ni Kwa ni ni kipindi Cha Magufuli uhalifu ulipotea mpaka ule wa kuvamia Mabenki na kuteka mabasi.

Bado nchi hizi maskini Zina watu washenzi wasiotii hata Sheria za asili. Yaani watoto wadogo wanakata watu mapanga na kubaka watu halafu Wapelekwe gerezani kufanya Nini. Watafungwa miaka kumi watatoka wakiwa Bado Vijana halafu watakua katili zaidi.

Dawa yao ni Moja tu kuuawa aukukatwa mikono yote miwili. Watoto Wenzao wakiona wataogopa. Ili Polisi Wabaki kuwasaka wezi wa kujificha na kuiba kistarabu sio kukata watu mapanga.
Mtu achukue Mali ya mtu halafu ampe ulemavu Tena. Hapana jamii iamke Sasa ikatae Wahalifu Kwa nguvu zote. Hata kupata viongozi wezi ni Kwa sababu ya kulea watoto wezi na wanaishi kihalifu matokeo yake jamii inatamani kuishi maisha yasiyoendana na maisha halali.
Tusilinganishe Huko Ulaya na Afrika Waafrika Kwa Sasa ndio kunakucha watu wanaishi Kwa uhalifu inabidi Sheria iwe Kali mana Dunia kila mtu anakimbizana na pesa usipoweka Sheria Kali wanyonge watageuka kuwa mawindo ya wenye nguvu . Na Kwa sababu wameshakupora pesa zako ni rahisi pia kuhonga Polisi au kuweka mawakili na kushinda kesi.
Unakumbuka kesi ya Zombe- mauaji ya wafanyabiashara wa madini, 2002?
Hata hapa majuzi hujasikia kesi ya kubambikiza huko Mtwara, ikapelelea mauaji, hadi Mama akaingilia? Unafikiri hizo ni kesi za kisiasa?

Sio polisi wote ni waadilifu, wengine vibaka pia. Miaka kadhaa imepita, kule Mvomero, Polisi walimuwekea mfanyabiashara fuvu la binadamu na kumuundia kesi ili atoe rushwa. Hapo unasemaje?
 
Unakumbuka kesi ya Zombe- mauaji ya wafanyabiashara wa madini, 2002?
Hata hapa majuzi hujasikia kesi ya kubambikiza huko Mtwara, ikapelelea mauaji, hadi Mama akaingilia? Unafikiri hizo ni kesi za kisiasa?

Sio polisi wote ni waadilifu, wengine vibaka pia. Miaka kadhaa imepita, kule Mvomero, Polisi walimuwekea mfanyabiashara fuvu la binadamu na kumuundia kesi ili atoe rushwa. Hapo unasemaje?
Panya road hawajaanza leo miaka ya 1990+ kulikua na vikundi Komando Yosso na Kiboko Msheri. Raia walipoamua kufanyakweli vikundi vyote vilifutika. Tabora mjini miaka 1980+ kulikua na vikundi vya kiharifu raia walipochoshwa wakafanyakweli. Panya road watatokomezwa na raia wenyewe kazi ya Polisi ni kukusanya maiti na kupeleka Hospitali chumba cha kuhifadhia maisha.
 
Back
Top Bottom