Hii hapa dawa ya mwanaume msaliti/mchepukaji

😳😳😳😳😳😳😳🤔
 
Utii na upendo ni dawa ya kuchepuka? You can't be serious aisee
NI dawa tena endelevu
1. mumeo anarudi unaionyesha kutomjali, akitoka nje huko anakutana na wanaojali, wanacare! unategemea nini
2. nyumbani GUBU haliishi! from no where huko nje hakuna gubu na daling m, babe mtindo mmoja na kudeka
3. kila akikuambia kitu hutii, hakuina heshima tena waweza kumkoromea mbele za watoto hata wageni demands zisizo na msingi

Hata kama ana kosa basi tumia hekima sana kumuweka sawa! na sana sana akina mama wasomi na wenye kazi nzuri ndio waume zao huongoza kwa kuchepuka!! mnajua kwa nini mnadhani ile kitu ina diploma ama degree? hapana!! ukiwa mwa m,umeo acha madaraka yako, acha nafasi uliyo nayo kazini, acha mkwanja mrefu ulionao be a wife!! mwanaume hachomoki utasikia kapewa limbwata!! sasa ukileta za kuleta kisa pesa, usomi, madaraka lazima achepuke!! mmpo?
 
Kuna watu wanafanya yote hayo, wako so humble, wanatii waume zao ila bado wanachepuka mtindo mmoja. Kuchepuka anatakiwa aamue mwenyewe kuacha au Mungu mwenyewe aingilie kati vinginevyo ni kutwanga maji tu kwenye kinu
NI dawa tena endelevu
1. mumeo anarudi unaionyesha kutomjali, akitoka nje huko anakutana na wanaojali, wanacare! unategemea nini
2. nyumbani GUBU haliishi! from no where huko nje hakuna gubu na daling m, babe mtindo mmoja na kudeka
3. kila akikuambia kitu hutii, hakuina heshima tena waweza kumkoromea mbele za watoto hata wageni demands zisizo na msingi

Hata kama ana kosa basi tumia hekima sana kumuweka sawa! na sana sana akina mama wasomi na wenye kazi nzuri ndio waume zao huongoza kwa kuchepuka!! mnajua kwa nini mnadhani ile kitu ina diploma ama degree? hapana!! ukiwa mwa m,umeo acha madaraka yako, acha nafasi uliyo nayo kazini, acha mkwanja mrefu ulionao be a wife!! mwanaume hachomoki utasikia kapewa limbwata!! sasa ukileta za kuleta kisa pesa, usomi, madaraka lazima achepuke!! mmpo?
 
NI dawa tena endelevu
1. mumeo anarudi unaionyesha kutomjali, akitoka nje huko anakutana na wanaojali, wanacare! unategemea nini
2. nyumbani GUBU haliishi! from no where huko nje hakuna gubu na daling m, babe mtindo mmoja na kudeka
3. kila akikuambia kitu hutii, hakuina heshima tena waweza kumkoromea mbele za watoto hata wageni demands zisizo na msingi

Hata kama ana kosa basi tumia hekima sana kumuweka sawa! na sana sana akina mama wasomi na wenye kazi nzuri ndio waume zao huongoza kwa kuchepuka!! mnajua kwa nini mnadhani ile kitu ina diploma ama degree? hapana!! ukiwa mwa m,umeo acha madaraka yako, acha nafasi uliyo nayo kazini, acha mkwanja mrefu ulionao be a wife!! mwanaume hachomoki utasikia kapewa limbwata!! sasa ukileta za kuleta kisa pesa, usomi, madaraka lazima achepuke!! mmpo?
Sio kweli. Kabla hajajua huyo mchepuko atakuwa na tabia gani huku nyumbani anakuwa mkorofi tu... Akifika anaanza kutoa kasoro hata zisizo na maana na kumfokea mkewe mbele ya watoto. Na wengine hiyo michepuko mikorofi balaa kutwa kununa na kuomba hela lkn mwanaume anambembeleza, kwann usimfanyie mkeo ambaye anakutii unamfanyia ubaya mpka anafika mwisho wa uwezo wa kukuvumilia? Ukichepuka wala sitohangaika kuongeza mahaba, huo unafiki siutaki kabisa.
 
Dawa ya mwanamme mchepukaji ni kumfanyia kama Zari alivyomfanyia Diamond.
 
Hapo ndipo mwanamke atakapotimuliwa kama mbwa mwizi
 
Njoo kwangu
Kuna watu wanatii na wanaupendo balaa but limwanaume linachepuka.
Don't take my comment too serious, sitapoteza muda kumtilia pilipili, ukiniboa nikafika mwisho wa uvumilivu nachapa lapa.
 
Back
Top Bottom