Pole sana mariam! Mimi sina cha kuchangia maana mwisho wa mwezi wa huu nitaleta majibu ya yaliyonikuta! Mpka sasa natumia PEP,Mara baada ya kungundua kuwa mwanamke Malaya niliyetaka kuzaa nae alikuwa mwathirika! Bado nipo kwenye dozi zimesalia SKU Tisa nikamlishe hii dozi! Lkn pia usikate tamaa maisha yanasonga mbele!
Waring! MSICHUKULIE POA, SIMULIZI ZINAZOKUJA HAPA HUWAGA ZA UKWELI, KAMA HAZIJAKUKUTA, HUWEZI KUAMINI! ILA NI MAISHA TUNAYOPITIA KATIKA HARAKATI ZA MAISHA YETU!
POLE WAZAZ WA MARIAM, POLE MARIAM NA ULAANIWE EWE MPUMBAVU ULIYEMWAMBUKIZA MARIAM KWA MAKUSUDI! PUMBAVU ZAKO