Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,324
Tuko pamoja sana mkuuShukrani mkuu kwa angalizo
kabisa..hiyo hali ipo maeneo gani mkuuKuambiana na kufahamishana kupo wakuu
Sehemu nyingi tu za Uswaz mkuu... Keko, tabata, kimara, kinyerezi, kibangu, msewe, mburahati manzese, tandika, kipunguni, kivule, msongola, kitunda, gongolamboto, majohe, urongoni, mwananyamala, mbagala, karakata, kiwalani, vingunguti, kigogo, chang'ombe temeke mtoni kichangani, hadi kwa azizi ally mkuu.kabisa..hiyo hali ipo maeneo gani mkuu
poa kumbe ni huko Dar..huku kwingine hali ni tofautiSehemu nyingi tu za Uswaz mkuu... Keko, tabata, kimara, kinyerezi, kibangu, msewe, mburahati manzese, tandika, kipunguni, kivule, msongola, kitunda, gongolamboto, majohe, urongoni, mwananyamala, mbagala, karakata, kiwalani, vingunguti, kigogo, chang'ombe temeke mtoni kichangani, hadi kwa azizi ally mkuu.
Sehemu nyingi tu za Uswaz mkuu... Keko, tabata, kimara, kinyerezi, kibangu, msewe, mburahati manzese, tandika, kipunguni, kivule, msongola, kitunda, gongolamboto, majohe, urongoni, mwananyamala, mbagala, karakata, kiwalani, vingunguti, kigogo, chang'ombe temeke mtoni kichangani, hadi kwa azizi ally mkuu.
Hata wa mikoani kuweni makini si mnaona kibiti pia hali imekuwa tete!!!poa kumbe ni huko Dar..huku kwingine hali ni tofauti
Picha wakati mwingine mkuuDuuuuuuh
Aiseeeeeh, majina tu yalivyo yanatisha Je, maeneo hayo yakoje!?
Weka picha kwa kuongeza vielelezo.
NomaaaDuuuuuuh
Aiseeeeeh, majina tu yalivyo yanatisha Je, maeneo hayo yakoje!?
Weka picha kwa kuongeza vielelezo.
kweli mkuuHata wa mikoani kuweni makini si mnaona kibiti pia hali imekuwa tete!!!
Ohoooo unaona sasa mjini shuleWakuu nina maana yangu kusema hivyo, kuwa hali ya sasa hivi inatisha haswa kwenye nyumba hizi za kulala wageni al maarufu guest house ukienda sehemu sio ujichukulie tu mradi guest haswa hizi zilizo uswazi ndani ndani au za uchochoroni ni hatari sana, unashangaa katikati ya usingizi mida mibovu mnaweza kuvamiwa hata na majambazi usiku wa manane wakajua mna hela nakadhalika mkapigwa na kuteswa hata umauti unaweza mtu kukufika kisa tu ushetani na tamaa zao za mali ikichangiwa na ugumu wa maisha, sawa siwakatazi kulala guest house lkn bora mchague sehemu ilio na uhakika wa usalama na roho yako na mali zako hali imekuwa tafrani kwa usawa huu tulio nao na ukizingatia sikukuu ya eid fitri iko njiani waharifu wanatafuta hela kwa njia mbali mbali.... Napenda kuwakilisha kwenu wakuu.!
poa kumbe ni huko Dar..huku kwingine hali ni tofauti
kweliOhoooo unaona sasa mjini shule
Sasa mkuu utashukaje na basi Ubungo halafu ukalale tandika, mburahati, majohe, kigogo au kivule...??? Kwann ukajifiche mbali kote huko?? Nimegundua mambo mawili:-Sehemu nyingi tu za Uswaz mkuu... Keko, tabata, kimara, kinyerezi, kibangu, msewe, mburahati manzese, tandika, kipunguni, kivule, msongola, kitunda, gongolamboto, majohe, urongoni, mwananyamala, mbagala, karakata, kiwalani, vingunguti, kigogo, chang'ombe temeke mtoni kichangani, hadi kwa azizi ally mkuu.
poa kumbe ni huko Dar..huku kwingine hali ni tofauti