PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,182
katika siku za hivi karibuni kumekuwepo utaratibu wa kurejesha mgao wa umeme kiaina, hali imeendelea kuwa mbaya siku hadi siku.jana ofisi za serikali hasa zenye kutumia kompyuta zile zisizokuwa na standby generator imekuwa shida. Leo tena tangu saa 12 jioni gizani mwendo mdundo hii nini? Nazungumzia mkoa wa mbeya, sijui mikoa mingine
mwanza ndo shidaaaa wakijickia tu wanakataa duh na hz cm ztu yani cjui Luna mkubwa Wa ccm kaleta power bank anataka kuuzaa
Huku mwenge muda huu tayari wameshakata,wapuuzi sana hawaKatika siku za hivi karibuni kumekuwepo utaratibu wa kurejesha mgao wa umeme kiaina, hali imeendelea kuwa mbaya siku hadi siku.Jana ofisi za serikali hasa zenye kutumia kompyuta zile zisizokuwa na standby generator imekuwa shida. Leo tena tangu saa 12 jioni gizani mwendo mdundo hii nini? Nazungumzia mkoa wa Mbeya, sijui mikoa mingine
Teamanaconda za masiku.....
kweli mkuu yan jamaa wanabore kinyamaaKatika siku za hivi karibuni kumekuwepo utaratibu wa kurejesha mgao wa umeme kiaina, hali imeendelea kuwa mbaya siku hadi siku.Jana ofisi za serikali hasa zenye kutumia kompyuta zile zisizokuwa na standby generator imekuwa shida. Leo tena tangu saa 12 jioni gizani mwendo mdundo hii nini? Nazungumzia mkoa wa Mbeya, sijui mikoa mingine
Arusha, Mwanza, Shinyanga, Kahama, Mwanza na Geita hakuna umeme. Pia watu wa Dar nao wanalalamika. Mgao wa umeme umerudi wanaona aibu kutangaza maana Profesa Kikwete aliahidi mgao wa umeme kuwa historia
Aisee nzuri kabsa kiongozi,sijui wewe?