Hii hali TANESCO haivumiliki

Hii hali TANESCO haivumiliki

katika siku za hivi karibuni kumekuwepo utaratibu wa kurejesha mgao wa umeme kiaina, hali imeendelea kuwa mbaya siku hadi siku.jana ofisi za serikali hasa zenye kutumia kompyuta zile zisizokuwa na standby generator imekuwa shida. Leo tena tangu saa 12 jioni gizani mwendo mdundo hii nini? Nazungumzia mkoa wa mbeya, sijui mikoa mingine

ni nchi nzima mgosi.
 
mwanza ndo shidaaaa wakijickia tu wanakataa duh na hz cm ztu yani cjui Luna mkubwa Wa ccm kaleta power bank anataka kuuzaa
 
Sio mwengetu hata mwanza hakuna umeme wanaludisha usiku CCM nchi imewashinda

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
sio mbeya na mwanza hata arusha! walianza na ile sikukuu ya wahindi ya kupiga fataki, kama kuna mgao si wautangaze..!!
 
mwanza ndo shidaaaa wakijickia tu wanakataa duh na hz cm ztu yani cjui Luna mkubwa Wa ccm kaleta power bank anataka kuuzaa

Sasa wewe untoboa Siri zetu,tuna makontena tumefuata china,na Vietnam halafu tutaanza kuuza baada ya Kutoka msibani Zambia ambako tutakaa siku 8 baada ya mazishi
 
Mwanza hakuna umemee sa nyingine unakatika na kurudii kila saa kama mtoto anachezea
 
Jamani Shinyanga kumezidi........yaani unakatika zaidi ya masaa 14 na ukirudi ni kwa dkk chache wanakata, unarudi nusu saa na unakatika tena masaa mawili yaani ni shida mpaka nashindwa kushangaa.

Mafisadi tuachieni nchi yetu mbona inaneema tu ila nyie ndo mnaotuzingua.
 
Acheni kulalamika nyie nyie ndo mnaochagua viongozi mnamlalamika nani sasa....
 
Wanasemaga kina matengenezo yanaendelea eti siku mbili tatu kutakuwa sasa baadae ya kabanwa wakasema eti tarehe moja mambo yatakuwa saw a nimeskia Gerald hando WA clouds akiwahoji
 
Jamani unatoka nyumbani akuna UMEME

Unarudi nyumbani unaangalia kataarifakadogo cha habari gafla wanakata tenaaa shedaaaa
 
Hivi sio haki watanzania na wadau wa TANESCO kupewa ukweli wa jambo kuliko kuendelea kutoa sababu za uongo kuhusu kukatika umeme? ?
 
Katika siku za hivi karibuni kumekuwepo utaratibu wa kurejesha mgao wa umeme kiaina, hali imeendelea kuwa mbaya siku hadi siku.Jana ofisi za serikali hasa zenye kutumia kompyuta zile zisizokuwa na standby generator imekuwa shida. Leo tena tangu saa 12 jioni gizani mwendo mdundo hii nini? Nazungumzia mkoa wa Mbeya, sijui mikoa mingine
Huku mwenge muda huu tayari wameshakata,wapuuzi sana hawa
 
Katika siku za hivi karibuni kumekuwepo utaratibu wa kurejesha mgao wa umeme kiaina, hali imeendelea kuwa mbaya siku hadi siku.Jana ofisi za serikali hasa zenye kutumia kompyuta zile zisizokuwa na standby generator imekuwa shida. Leo tena tangu saa 12 jioni gizani mwendo mdundo hii nini? Nazungumzia mkoa wa Mbeya, sijui mikoa mingine
kweli mkuu yan jamaa wanabore kinyamaa
 
Arusha, Mwanza, Shinyanga, Kahama, Mwanza na Geita hakuna umeme. Pia watu wa Dar nao wanalalamika. Mgao wa umeme umerudi wanaona aibu kutangaza maana Profesa Kikwete aliahidi mgao wa umeme kuwa historia


"Dodoma Municipal" Hapa pia umeme unakatika katika ovyo ovyo yaani. Nahisi wakikwazwa na waume/wake zao nyumbani kwao ndio wanaamua kufanya lolote wafikapo ofisini kwao. Akili zao ni sawa na mtoto mdogo ajinyeae bila taarifa cha msingi ni FIMBO, one day wakichapwa viboko ndipo watakuwa wanatoa taarifa kabla ya kukata.
 
Back
Top Bottom