jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,781
niko huku namtumbo umememtuna mwezi hakuna
Acha maskhara mkuu!tangu niende sikukuu ya IDD nikawakosa sijaenda tena aisee!lini wanakuja tena aisee?salama, me nipo poa, yale mambo yetu kule "patamu" sasa kufuru mambo hadharani.....
Acha maskhara mkuu!tangu niende sikukuu ya IDD nikawakosa sijaenda tena aisee!lini wanakuja tena aisee?
sikutanii sasa ivi ni balaa wanacheza kama walivyozaliwa kila jumapili wanakuwepo.