Hayo ni maono na tahadhari. Sio ndoto za kawaidaHabari
Nafupisha hii mada
Kuna huyu mtu nilipanga kumtembelea kwanzia December nitoke mkoa A mpka mkoa B
Things went as we planned...ila cha kushangaza tukiplan kuhusu hio safari nikilala tu naota ajali tu ikabidi nimwambie sikukuu ziishe Hali irudi kawaida nitamtembelea...
Tukazidi kujipanga huku tukisubiri kuvuka mwaka wa 2026 uishe .....
Tatizo linaanza tu tukiongelea tu hio safari naota ndoto za kutisha kama nimepata ajali na nimefariki ..
Hii ni ndoto tu au Kuna ujumbe ndani yake maana nimeota zaidi ya mara tatu......
Fayaaa 🔥 (kwa sauti ya Mwakasege).Ajali kwenye ndoto Kama ni mpo kwenye mahusiano na huyo mtu basi ajali maana yake lazima vyuma vitagongana kunako sita kwa sita ,sasa uamuzi ni wako uende au usiende
Labda akienda ataambukizwa Gono sugu au ngwengwe😁.
Hofu ninayo kweliHata ukishinda sana gereji utaanza kuota ndoto za gereji au unakwenda gereji kutengeneza gari.
Nachotaka kusema ni kuwa sometimes, your perception can form and create your realty. Yaani mitazamo yako inaweza kuanza kukuumbia ukweli fulani kuhusu maisha yako.
Una hofu ya ajari na unajaribu kuwazia ikikutokea itakuwaje,ile hofu yako imeuwa so deep hadi inakutengenezea ndoto ili uone kile unachokihofia.
AsabteHayo ni maono na tahadhari. Sio ndoto za kawaida
Soma hapa
Thread 'Hizi sio ndoto za kawaida' Hizi sio ndoto za kawaida
Kabisa yaniUmejitia uoga sana wa hiyo safari,unawaza sana huyo mtu ukutane nae au usikutane nae,kifupi upo katikati ya maamuzi yako,hujiamini au humuamini huyo unayetaka kwenda kuonana nae,ndio maana unaota hivyo,
Death is inevitable,siku ikifika imefika tu.