Aah ya nilijua Kuna dis order flani maana mi huwa napita TU hata sijawahi waza tena kwangu Kuna kilinge Cha wanaosukana (msusi)daily wapo nawapa hi naendelea na maishaKitambi mkuu
Achana nao hao ..wamekuelewa (kwa vijana wa mjini wanasema hivyo) ndio maana wanakaa kimya unapitaUkiwa peke yako sawa ila kilinge Cha watu kuanzia 10 hapana kwakweli
Mwanaume jinsia tu, ila sifa hunaTena wa nguvu,
Tatizo lipo kwenye kukuangalia kwa muda mrefuAah ya nilijua Kuna dis order flani maana mi huwa napita TU hata sijawahi waza tena kwangu Kuna kilinge Cha wanaosukana (msusi)daily wapo nawapa hi naendelea na maisha
Sasa fanya hivi Kila utakapopita awe mmoja au wengi ukifika TU wasalimie "habari ya kutwa......"mchana au jioni njema"be a good person Wala hutapata shida nao na mwisho wataanza kukuona kama mtu unaejali
Kitambi sio tatizo
kwa miaka yako uliyo nayo achana nayo tuNijaribu nini!! Au ngoja kwanza
Mmh, hata nilipokuwa na umri wa miaka 16 sikuwa na aibu za kike hivyo!Ile unatembea sehemu alafu unakuta kilinge Cha wanawake wamekaa wengiii,, wanapiga story wakikuona tu wananyamaza alafu ukipita kwa mbele kidogo tu wanaangua kicheko haaaaaaaaaaaa.
yesu na maria kama ni parefu mpaka upate Kona unaweza kuanguka kabisa,
Mbaya zaidi iwe kuna mmoja wapo ambaye umewahi kumtongoza akakataa ujue kimeumana.
hapo inabidi ujilipue kweli kupita bila hivyo kazi ipo, mi mara nyingi sana hua nabadili njia chap naenda kutokea upande wa pili.
Nimewahi kujikwaa kisa mambo hayohayo
.
47 unaogopaa kupita mbelee ya wanawakeee aiseee kwel Dunia Ina mmbo km wasemavyo watu poriii😂😂😂😂Nikikua? Na miaka hii47 nikue tena
si wakikuangalia na wewe unawaangalia, mwishowe wao wenyewe wanaangalia pembeniTatizo lipo kwenye kukuangalia kwa muda mrefu
Ana maanisha inabidi uzishike sura zao halafu tembeza bakora one after another.Kama ipi labda
🤣🤣🤣🤣Kigogo sambusaOk, mpo mitaa gani