Hii hali huwa inanisumbua sana

Hii hali huwa inanisumbua sana

Rule L

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2020
Posts
2,180
Reaction score
3,476
Ile unatembea sehemu alafu unakuta kilinge cha wanawake wamekaa wengiii, wanapiga story wakikuona tu wananyamaza alafu ukipita kwa mbele kidogo tu wanaangua kicheko haaaaaaaaaaaa.

Yesu na maria kama ni parefu mpaka upate Kona unaweza kuanguka kabisa. Mbaya zaidi iwe kuna mmoja wapo ambaye umewahi kumtongoza akakataa ujue kimeumana.

Hapo inabidi ujilipue kweli kupita bila hivyo kazi ipo, mi mara nyingi sana hua nabadili njia chap naenda kutokea upande wa pili.

Nimewahi kujikwaa kisa mambo hayohayo.
.
 
Pole bro kwani una shida yoyote kwenye muonekano wako inayokupa hofu labda ulemavu au kichwa kikubwa au mwili wako ni laini unatingishika (tipwatipwa)au niaje maana hii si kawaida mabinti ndio huogopa wanaume Sasa wewe tena kidume shababi ukianza hizo pigo si dah namba itazidi kushuka sema shida ni Nini hadi uone aibu.
NB
lengo ni kusaidiana
 
Ukiona wale pale wamekaa washa fegi toa na kiswasadu au Ka smart gin au kakonyagi huku unakapiga.. Wanawake wanapenda bad boys wahuni hawasengenywi ila ukiwa bishow lazima utetereke juu yao.. Salam moja tu unawapa oya vipi hapo
 
Khaaa sisi ndio tunaogopa boys kuchokozwachokozwa sasa na wewe unatuogopa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji28][emoji1787][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji23][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiwa peke yako sawa ila kilinge Cha watu kuanzia 10 hapana kwakweli
 
Ile unatembea sehemu alafu unakuta kilinge Cha wanawake wamekaa wengiii,, wanapiga story wakikuona tu wananyamaza alafu ukipita kwa mbele kidogo tu wanaangua kicheko haaaaaaaaaaaa.

yesu na maria kama ni parefu mpaka upate Kona unaweza kuanguka kabisa,
Mbaya zaidi iwe kuna mmoja wapo ambaye umewahi kumtongoza akakataa ujue kimeumana.

hapo inabidi ujilipue kweli kupita bila hivyo kazi ipo, mi mara nyingi sana hua nabadili njia chap naenda kutokea upande wa pili.

Nimewahi kujikwaa kisa mambo hayohayo
.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Pole bro kwani una shida yoyote kwenye muonekano wako inayokupa hofu labda ulemavu au kichwa kikubwa au mwili wako ni laini unatingishika (tipwatipwa)au niaje maana hii si kawaida mabinti ndio huogopa wanaume Sasa wewe tena kidume shababi ukianza hizo pigo si dah namba itazidi kushuka sema shida ni Nini hadi uone aibu.
NB
lengo ni kusaidiana
Kitambi mkuu
 
Ukiona wale pale wamekaa washa fegi toa na kiswasadu au Ka smart gin au kakonyagi huku unakapiga.. Wanawake wanapenda bad boys wahuni hawasengenywi ila ukiwa bishow lazima utetereke juu yao.. Salam moja tu unawapa oya vipi hapo
nikishachoma blunt mademu huwa nawaona kama takataka

Blunt muhimu sana kwangu na usafi pia

Mbona heshima inakuwepo tu
 
Back
Top Bottom