Kabisa si haki hata kidogo! Yaani Uwanza wa ndege inatakiwa iwe ipindiliwe kabisa iliianze upya.Huu ni unyanyasaji uliopitiliza!
Havistahili kulipiwa kodi period! Kwani anafanya biashara?!!Tusibwatuke tu kwa mihemko, kanyanyaswa nini sasa.., hivyo vitu alilipia ama hakulipia kodi, tuanzie hapo..
Kabisa si haki hata kidogo! Yaani Uwanza wa ndege inatakiwa iwe ipindiliwe kabisa iliianze upya.
wala sio kuumbuka, nikiwa bado mwanafunzi nilishawahi jaza begi condoms kama 50 hivi halafu zinafata chupi chafu bandarini dar, manake ilikuwa usumbufu, nakumbuka yule mama alinitizama kisha akauliza we mwanafunzi nikamwambia ndio, akadai kijana taraatibu, alinimark sura kila nikipita pale anacheka tuKama una chupi zako chafu.utaumbuka
Kotojua sheria cyo sababu ya kutofungwa mkuu!! Alipaswa aulize taratibuMara zote issue huwa ni approach ya kutatua tatizo, na hao watu wa airport na tra hawajuia kama case ya jana sio ya leo wala ya kesho. Pia kama huyo dada kama katoka nje ya nchi (anavyozungumza hakuwapo kama miaka miwili hivi) na alikuwa huko miaka miwili hakuna cha kulipa hapo labda lingekuwa gari ambalo linataka miezi kumi na mbili kabla ya kurudi Tanzania (source website ya tra).
Halafu kesho kutwa anakuja kuwa boss wake ndio atashika adabu.
Hapana mkuu!! Kama hujui sheria utafungwa tuuKotojua sheria cyo sababu ya kutofungwa mkuu!! Alipaswa aulize taratibu