Pongezi kwa CDF Mstaafu Mabeyo kutuvusha katika kipindi kigumu, baada ya hapo kwanini Katiba haikulindwa?

Wimbo

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
826
574
Pongezi kwa Mabeyo Mkuu wa majeshi Mstaafu kwa kusaidia kutuvusha katika kipindi kigumu, baada ya hapo suala la kuifunga awamu kipindi kinachompa ruhusa ya makamu wa Rais kushika madaraka kwanini ilitokea kizungumkuti na kuamua kubadili gear angani nakuanza awamu mpya awamu ya sita lengo lilikuwa nini au hofu ilikuwa wapi kwa nini Mabeyo huyohuyo aliyesaidia kuendeleza ushwali kwa nini hakuonya kuhusu jambo hili?

Aliapa kuilinda Katiba mbona hakuendelea kuilinda, awamu ya sita inapashwa ianze 2025 na Mama Samia agombee tu na hata wanaCCM wengine wagombee tu mama aanze awamu yake akipita kwa mujibu wa katiba ya chama CCM aendelee kuwa na nafasi ya pili ya kugombea 2030-35
 
Pongezi kwa Mabeyo Mkuu wa majeshi Mstaafu kwa kusaidia kutuvusha katika kipindi kigumu, baada ya hapo suala la kuifunga awamu kipindi kinachompa ruhusa ya makamu wa Rais kushika madaraka kwa nini ilitokea kizungumkuti na kuamua kubadili gear angani nakuanza awamu mpya awamu ya sita lengo lilikuwa nini au hofu ilikuwa wapi kwa nini Mabeyo huyohuyo aliyesaidia kuendeleza ushwali kwa nini hakuonya kuhusu jambo hili. aliapa kuilinda Katiba mbona hakuendelea kuilinda. awamu ya sita inapashwa ianze 2025 na Mama Samia agombee tu na hata wanaCCM wengine wagombee tu mama aanze awamu yake akipita kwa mujibu wa katiba ya chama CCM aendelee kuwa na nafasi ya pili ya kugombea 2030-35
Katiba haina mambo ya awamu, hayo ni maneno ya chombezo tu ya wanasiasa.
 
Mwishowe Mabeyo atapewa kazi ya kuchunguza kama wanandoa wanakulana kinyume na maumbile.Alimaliza kazi yake mengine hayamhusu.
 
Back
Top Bottom