Hii glasi ya bia niaje?

Hii glasi ya bia niaje?

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,236
149905_10151708165037388_1891318931_n.jpg
 
unakunywa hisia za ulevi zikikolea unaanza kuirect tartiiiiiiiiiiiibu.
 
Imepokewa na tutaendelea kuchangia kodi kwa kugida sana!
manywaji mema wakuu msisite kuwafaidisha na wale wanaowahudumia iwe kwa kipato na mtunda kama karoti na matango ikiwa watayahitaji
 
manywaji mema wakuu msisite kuwafaidisha na wale wanaowahudumia iwe kwa kipato na mtunda kama karoti na matango ikiwa watayahitaji

Ah aa! Mambo hayo nawayafanye wengine sisi kwetu kunywa hatuna choyo tutawanywesha tu lakini hayo mengine waende kwa wasamaria wa Kariakoo.
 
Back
Top Bottom