Hii form ya traffic inamhusu nani

Hii form ya traffic inamhusu nani

hadi wabunge, wakurugenzi na mapolisi waandamizi wana leseni za mezani. nusu ya madereva hawana cheti
Usiandikie mate mimi mwenyewe sina cheti na nimeendesha gari tangu 1996 sijasababisha ajali. Leo mipumbafu inaanza kukuhoji cheti?.
Kwautaratibu huu tunarudi nyuma na sio kwenda mbele.
 
Wakifuatilia sana, watakuwa wamepunguza foleni, tena iwe lazima udereva usomewe boarding
 
Kamanda na shangazi kwa ufafanuzi
IMG-20180726-WA0009.jpg
IMG-20180726-WA0008.jpg
 
Awamu hii kila mtu anaguswa na kusomeshwa namba.Nani angejua kwamba lingekuja zoezi la huhakiki wa leseni.Sijui huhakiki unaofuata utakuwa juu ya nini?
 
Duu kazi ipo sisi wengine leseni ilitangulia ndio cheti kikafuata
 
Tatembea na cheti changu cha chuo B.Sc na A-Level PCM trafic akiniuliza namwonesha hivyo vyeti kisha namuuliza "Kwa akili yako bwana afande nawezaje kufaulu PCM na BSc tena ya COET afu nikafeli kwenye driving school?" kisha namwambia use your common sense, nawasha gari nafunga vioo naondoka.
Brother nasimamia UE ujue, acha kunichekesha hadi wanafunzi wakose concentration.
 
Tatembea na cheti changu cha chuo B.Sc na A-Level PCM trafic akiniuliza namwonesha hivyo vyeti kisha namuuliza "Kwa akili yako bwana afande nawezaje kufaulu PCM na BSc tena ya COET afu nikafeli kwenye driving school?" kisha namwambia use your common sense, nawasha gari nafunga vioo naondoka.
taasisi ya elimu lazima isajiliwe na nacte au tcu sasa hizi driving school uhalali wake ukoje? mbona nikiangalia katika list ya nacte sioni hata kimoja? uhalali ukoje kunilazimisha kusoma katika taasisi isiyokuwa na sifa?
 
kama itahusu madereva wote i bet 90℅ hawajaenda chuo na kama hao wote magari yakiwa grounded it means anguko kwa wauzaji wa mafuta concequently Yohana nae atakosa mapato. Cheti sio sababu ya kutokea au kutotokea kwa ajali.... hii serikali imejaa viazi mviringo tupu yaani kutwa kuwaza pumba tuu...
hivi hao waalimu wa driving school wamesomea wapi? duce wana diploma in driving education? Prof Ndalichako atueleze hao walimu wa driving school anawafundishia wapi? je wanazo teaching license? utaniambiaje nikafundishwe na mtu asiyekuwa na sifa ya kufundisha?
 
Ili dereva apewe leseni kwanza anakua na cheti then police wakijiridhisha wanataka leseni sasa leo tena baada ya miaka mingi polisi wanaibuka na kudai tena cheti!! How comes
 
Tatembea na cheti changu cha chuo B.Sc na A-Level PCM trafic akiniuliza namwonesha hivyo vyeti kisha namuuliza "Kwa akili yako bwana afande nawezaje kufaulu PCM na BSc tena ya COET afu nikafeli kwenye driving school?" kisha namwambia use your common sense, nawasha gari nafunga vioo naondoka.
Jaribu ulale rumande kesho mahakamani kwa makosa ambayo hata wewe utashangaa
 
Njoeni mtaani maana madereva wengine hawana akili kutokana atakuta mvua inanyesha kunavidimbwi akimuona mwenda kwa miguu anapitisha gari lake nia yake mwenda kwa miguu alowe tu.
 
Back
Top Bottom