Masanja Maguzu
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 547
- 396
wakishakagua watuwekee ndonya usoni ili wakituona wajua tushakaguliwa,Njoeni mtaani maana madereva wengine hawana akili kutokana atakuta mvua inanyesha kunavidimbwi akimuona mwenda kwa miguu anapitisha gari lake nia yake mwenda kwa miguu alowe tu.