Hii form ya traffic inamhusu nani

Hii form ya traffic inamhusu nani

Smartbeing

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
323
Reaction score
425
Naomba kufahamu kwa mwenye uelewa kama ni kwa gari za biashara, mabasi ya mikoani au wote
IMG-20180726-WA0001.jpg
 
Tatembea na cheti changu cha chuo B.Sc na A-Level PCM trafic akiniuliza namwonesha hivyo vyeti kisha namuuliza "Kwa akili yako bwana afande nawezaje kufaulu PCM na BSc tena ya COET afu nikafeli kwenye driving school?" kisha namwambia use your common sense, nawasha gari nafunga vioo naondoka.
 
Unless uwe unaondoka kuelekea kwa fundi nguo kushona shati kama la Lugola kama siyo hivyo utaleta mrejesho.
 
Tatizo ni kelele za kushindwa kila siku.
Nchi hii ina magari mengi .
Hebu tuseme kuna magari 500,000 kwa mfano.
Sasa tujiulize magari laki 5 halafu kwa mwaka zikatokea ajali za magari 1000 kwa mwaka sawa na 0.2% kwa maana ya madereva 1000 ni wazembe au ni jeuri na hawajali uhai wa wanzao. Lakini wengine 499000 sawa na 99.8% wametimiza majuku yao ipasavyo.
Sasa kwa nini tusiwapongeze hao wengi waliofanya vizuri badala yake nao wanaingia kwenye harassment kwa sababu ya wazembe wachache.

Tujifunze kuwapongeza wale wanaofanya majukumu yao vizuri hata kama ni madereva.
 
Sawa uzembe wa madereva upo Lakini ukweli ni kwamba ajali nyingi nchi hii zinatokana na miundo mbinu mibovu hasa barabara zetu za mikoani ikichangiwa pia na ubovu wa magari ynywe
 
Tatembea na cheti changu cha chuo B.Sc na A-Level PCM trafic akiniuliza namwonesha hivyo vyeti kisha namuuliza "Kwa akili yako bwana afande nawezaje kufaulu PCM na BSc tena ya COET afu nikafeli kwenye driving school?" kisha namwambia use your common sense, nawasha gari nafunga vioo naondoka.
hehe na bili uliweka kwa bwashehe ili ukae vimbwetani kwa raha....
 
Tatembea na cheti changu cha chuo B.Sc na A-Level PCM trafic akiniuliza namwonesha hivyo vyeti kisha namuuliza "Kwa akili yako bwana afande nawezaje kufaulu PCM na BSc tena ya COET afu nikafeli kwenye driving school?" kisha namwambia use your common sense, nawasha gari nafunga vioo naondoka.
Sasa unawmabia afande kuhusu COET wakati yeye alifeli form 4 mzee ugomvi wake utakua si wa nchi hii
 
kuna mtu anayehusika nimemuuliza akasema hiyo ni specifically kwa vyombo vya moto vinavyosafirisha abiria kibiashara tuu
 
Tatembea na cheti changu cha chuo B.Sc na A-Level PCM trafic akiniuliza namwonesha hivyo vyeti kisha namuuliza "Kwa akili yako bwana afande nawezaje kufaulu PCM na BSc tena ya COET afu nikafeli kwenye driving school?" kisha namwambia use your common sense, nawasha gari nafunga vioo naondoka.

Kwahiyo Unamaanisha Ukiwa na Sifa kama zako hizo ulizozitaja hapo juu bila shaka unauwezo wa kujua na kufanya vizuri/kufauli Eneo lolote la taaluma nyingine?

Fikira za uchovu wa Akili za kiasi gani hizi!

Wahandisi wenyewe ndio nyie mnaotuachiaa Miradi 'disposable' Kila Uchao?

Wish you had gone to school contrary to,
'To-the-school' as you did.
 
kama itahusu madereva wote i bet 90℅ hawajaenda chuo na kama hao wote magari yakiwa grounded it means anguko kwa wauzaji wa mafuta concequently Yohana nae atakosa mapato. Cheti sio sababu ya kutokea au kutotokea kwa ajali.... hii serikali imejaa viazi mviringo tupu yaani kutwa kuwaza pumba tuu...
 
Kwahiyo Unamaanisha Ukiwa na Sifa kama zako hizo ulizozitaja hapo juu bila shaka unauwezo wa kujua na kufanya vizuri/kufauli Eneo lolote la taaluma nyingine?

Fikira za uchovu wa Akili za kiasi gani hizi!

Wahandisi wenyewe ndio nyie mnaotuachiaa Miradi 'disposable' Kila Uchao?

Wish you had gone to school contrary to,
'To-the-school' as you did.
Ushapata ile Milioni 10 ya udalali?
 
Back
Top Bottom