- Thread starter
- #21
Ukijiweza Dar bora ununue helikopta. Adha ya foleni utakuwa umefaulu kuikwepa.
Hahahaaa.... Sasa na huko juu si kutakuwa na jam mwishowe?
Ukijiweza Dar bora ununue helikopta. Adha ya foleni utakuwa umefaulu kuikwepa.
Nipo hapa morocco mataa kuna folen sijawahi kuona, naelelekea mwenge cjui nitafika saa ngapi
Nimetoka morocco saa 11 na nusu mpaka sasa sijafika mwenge, ndio kwanza sayansi
Traffic nao wamegoma maana leo wamekosa mapato ya daladala! No offense intended
we subiri tu mkuu utaona utafika saa ngapi.
Shida nafikiri ni haka kamvua kasikokatika. Nipo peke kwenye gari cjui nipitie sinza nikadake kamalaya kanisindikize mpaka tegeta mana ubaridi huu halafu home niko alone, Lara 1 upooo ?
Hata hivyo mbona inaonekana kulala njiani ndio kifuatacho! !
mvua inaweza kuwa factor ya ongezeko la foleni.Nadhani leo wale wabahili wa kununua petrol wamewasha dinga zao na kuongeza uwingi wa magari barabarani
bora mimi na phoenix yangu!:becky:
serious? umenimiss?..Nimekumiss sana wewe mtu hivi upogo?
Poleni wakuu hii ndo tz