tony montana
Senior Member
- Oct 16, 2014
- 142
- 38
Kutoka ocean road mpaka aga khan nimetumia masaa manne (4) , foleni ya leo ni kiboko
Nadhani leo wale wabahili wa kununua petrol wamewasha dinga zao na kuongeza uwingi wa magari barabarani
nakushauri ugeuze uanze kurudi kazini ikifika asbh umefika ofcn vinginevyo umekosa kazi.
Hata hivyo inawezekana mkuu.
Leo nilitoka kwa kujinafas kisa hakuna madaladala so nikajua hakutakuwa na folenu walai nilichokutana nacho siamin
Poleni, ndio adha ya jiji lenu.
mwenyewe nimeshangaa sana asubuhi nimekuta foleni kuanzia jogoo mbezi, nimechelewa kidogo kutoka nikajua nitateleza tu
It's very true, kinachotuponza sana hapa bongo ni watu kutaka kuonyesha zaidi status zao kuwa wana self drive.Sasa faida ya gari kwa jiji la dar nini?!!? Au sifa.
Sasa faida ya gari kwa jiji la dar nini?!!? Au sifa.
It's very true, kinachotuponza sana hapa bongo ni watu kutaka kuonyesha zaidi status zao kuwa wana self drive.
Mbona kwenye nchi za wenzetu zilizoendelea sana kiuchimi, kama vile Scandinavian countries, asilimia kubwa ya wakazi wa majiji makubwa ya huko, plus wale wenye uwezo wa kumiliki magari ya bei mbaya, wanatumia Public transport za mabasi na train.
Sasa hapa TZ mtu aliye nazo ukimweleza atumie public transport, ataona unataka ushushe status yake, wakati bila kujua kwa kuwa hizo private cars ndiyo zinazokuwa zimefurika mabarabarani, ambazo most of the time unakuta kwenye gari nzima yumo yeye peke yake anayedrive gari hiyo.
Ni vyema kama waTZ tutakuwa na nia ya dhati ya kuondoa traffic jam hapa jijini Dar, na mindset zetu ni lazima zibadilike, za kujua kuwa the only permanent solution za foleni za mabarabarani ni kuimarisha public transport na wakazi wa jiji hili waprefer kutumia public transport badala ya private cars zao.
Kama fikra hizo hazitabadilika vichwani mwetu, hata huo mradi wa BRT utakapoanza na bado adha ya foleni ya magari bado itakuwa haijawa solved.

Hata hivyo mbona inaonekana kulala njiani ndio kifuatacho! !
It's very true, kinachotuponza sana hapa bongo ni watu kutaka kuonyesha zaidi status zao kuwa wana self drive.
Mbona kwenye nchi za wenzetu zilizoendelea sana kiuchimi, kama vile Scandinavian countries, asilimia kubwa ya wakazi wa majiji makubwa ya huko, plus wale wenye uwezo wa kumiliki magari ya bei mbaya, wanatumia Public transport za nchi hizo za mabasi na train?
Sasa hapa TZ mtu aliye nazo ukimweleza atumie public transport, ataona unataka ushushe status yake, wakati bila kujua kwa kuwa hizo private cars ndiyo zinazokuwa zimefurika mabarabarani, ambazo most of the time unakuta kwenye gari nzima yumo yeye peke yake anayedrive gari hiyo, unakuta anapoteza masaa kadhaa humo barabarani.
Ni vyema kama waTZ tutakuwa na nia ya dhati ya kuondoa traffic jam hapa jijini Dar, itabidi na mindset zetu ni lazima zibadilike, za kujua kuwa the only permanent solution za foleni za mabarabarani ni kuimarisha public transport na wakazi wa jiji hili waprefer kutumia public transport badala ya private cars zao.
Kama fikra hizo hazitabadilika vichwani mwetu, hata huo mradi wa BRT utakapoanza, hautaleta muarobaini wowote na bado adha ya foleni ya magari itakuwa haijawa solved hata kidogo.
Kiuhalisia foleni za 'kufa mtu' hapa jijini Dar hazisababishwi na daladala, bali inasababishwa na private cars.Kumbe daladala hazisababishi foleni maana kuna mgomo lakini bado foleni kubwa