Hii foleni mbona balaa!

Hii foleni mbona balaa!

It's very true, kinachotuponza sana hapa bongo ni watu kutaka kuonyesha zaidi status zao kuwa wana self drive.

Mbona kwenye nchi za wenzetu zilizoendelea sana kiuchimi, kama vile Scandinavian countries, asilimia kubwa ya wakazi wa majiji makubwa ya huko, plus wale wenye uwezo wa kumiliki magari ya bei mbaya, wanatumia Public transport za nchi hizo za mabasi na train?

Sasa hapa TZ mtu aliye nazo ukimweleza atumie public transport, ataona unataka ushushe status yake, wakati bila kujua kwa kuwa hizo private cars ndiyo zinazokuwa zimefurika mabarabarani, ambazo most of the time unakuta kwenye gari nzima yumo yeye peke yake anayedrive gari hiyo, unakuta anapoteza masaa kadhaa humo barabarani.

Ni vyema kama waTZ tutakuwa na nia ya dhati ya kuondoa traffic jam hapa jijini Dar, itabidi na mindset zetu ni lazima zibadilike, za kujua kuwa the only permanent solution za foleni za mabarabarani ni kuimarisha public transport na wakazi wa jiji hili waprefer kutumia public transport badala ya private cars zao.

Kama fikra hizo hazitabadilika vichwani mwetu, hata huo mradi wa BRT utakapoanza, hautaleta muarobaini wowote na bado adha ya foleni ya magari itakuwa haijawa solved hata kidogo.

Well said. U'r more than true.
 
Ushawahi kusimama kwenye daladala umeshika bomba kwa saa 2-3, hapo upo kwenye daladala yenye uwezo wa kubeba watu 25 lkn ndani wapo 40-50, huna hata pa kusogeza mguu? utaona ni nafuu uwe kwenye gari lako binafsi unakula AC, na unaweza chepukia njia nyingine, tofauti na daladala ambayo lzm ipite barabara husika.

Hayo ni mashauzi tu. mtu nishasafiri siku tatu kwa kusimama ndo unaniletea visababu vya kizembe namna Hii. Hahahaa hii ni sawa na kumtishia Nuhu mafuriko ya jangwani.
 
Nipo hapa morocco mataa kuna folen sijawahi kuona, naelelekea mwenge cjui nitafika saa ngapi

Binadamu tunashangaza sana. wewe uko ndani ya gari full kiyoyozi tayari uko Moroko unalalamika. mihela kibao unayo mfukoni. Mimi niko Kigamboni nakwenda Kawe kwa mguu na mvua hii na huko nilikopanga mwenye nyumba ananidai kodi.
 
Kutoka ocean road mpaka aga khan nimetumia masaa manne (4) , foleni ya leo ni kiboko
Mimi kutoka MIKOCHENI mpaka Mbagala nimetumia zaidi ya masaa matano. Cha kufurahisha kuanzia k wa Azizi Ally mpaka Mtongani tulianza kutanua njia Sita mpaka upande wa pili wa barabara, yaani vurugu lililokuwepo sijawahi kuona
 
uchumi umekua sana

Uchumi umekua sana!! Au ulimbukeni umezidi!!!??? Wengine mafuta yenyewe ya kutegemea mshahara bado wanang'ang'ana na gari kwenye foleni za dar huku ndugu zao na wazazi wao wakiishi maisha ya shida huko vijijini.
 
Tuliambiwa hiyo ni ishara ya maendeleo Tanzania. (Baada ya muswada kuwa sheria, sasa tunabadilisha style ya uandishi - passive voice kwa kwenda mbele).
 
Shida nafikiri ni haka kamvua kasikokatika. Nipo peke kwenye gari cjui nipitie sinza nikadake kamalaya kanisindikize mpaka tegeta mana ubaridi huu halafu home niko alone, Lara 1 upooo ?
Kwa hiyo lala moja mala....
 
It's very true, kinachotuponza sana hapa bongo ni watu kutaka kuonyesha zaidi status zao kuwa wana self drive.

Mbona kwenye nchi za wenzetu zilizoendelea sana kiuchumi, kama vile Scandinavian countries, asilimia kubwa ya wakazi wa majiji makubwa ya huko, plus wale wenye uwezo wa kumiliki magari ya bei mbaya, wanatumia Public transport za nchi hizo za mabasi na train?

Sasa hapa TZ mtu aliye nazo ukimweleza atumie public transport, ataona unataka ushushe status yake, wakati bila kujua kwa kuwa hizo private cars ndiyo zinazokuwa zimefurika mabarabarani, ambazo most of the time unakuta kwenye gari nzima yumo yeye peke yake anayedrive gari hiyo, unakuta anapoteza masaa kadhaa humo barabarani.

Ni vyema kama waTZ tutakuwa na nia ya dhati ya kuondoa traffic jam hapa jijini Dar, itabidi na mindset zetu ni lazima zibadilike, za kujua kuwa the only permanent solution za foleni za mabarabarani ni kuimarisha public transport na wakazi wa jiji hili waprefer kutumia public transport badala ya private cars zao.

Kama fikra hizo hazitabadilika vichwani mwetu, hata huo mradi wa BRT utakapoanza, hautaleta muarobaini wowote na bado adha ya foleni ya magari itakuwa haijawa solved hata kidogo.

Sasa mdogo wangu unalinganisha public transport za maulaya na huku kwetu, hiyo siyo haki hata kidogo.

Kwanza za wetu ni chafu pamoja na madereva na makonda wao kwa asilimia kubwa,
pili huwa zinajaza kupita viwango
tatu humo ndani ni wizi mtupu

Public transport za ulaya ni starehe hata ikibidi kusimama hamna pressure, unasoma kitabu chako au unafyeka iPad au simu yako kwa starehe zako, hebu jaribu kwenye za kwetu ukione cha mtema kuni!
 
Hayo ni mashauzi tu. mtu nishasafiri siku tatu kwa kusimama ndo unaniletea visababu vya kizembe namna Hii. Hahahaa hii ni sawa na kumtishia Nuhu mafuriko ya jangwani.

Hujui unachokisema wewe! there's no comfort kwenye daladala hasa public transport ya DSM. Hivi kwanza unaishi mji huu au umepewa story tu?
 
Binadamu tunashangaza sana. wewe uko ndani ya gari full kiyoyozi tayari uko Moroko unalalamika. mihela kibao unayo mfukoni. Mimi niko Kigamboni nakwenda Kawe kwa mguu na mvua hii na huko nilikopanga mwenye nyumba ananidai kodi.
Lakini mkuu bado ukaona priority Kwako ni smartphone baada ya kudunduliza ununue japo kwa vitz
 
Sasa mdogo wangu unalinganisha public transport za maulaya na huku kwetu, hiyo siyo haki hata kidogo.

Kwanza za wetu ni chafu pamoja na madereva na makonda wao kwa asilimia kubwa,
pili huwa zinajaza kupita viwango
tatu humo ndani ni wizi mtupu

Public transport za ulaya ni starehe hata ikibidi kusimama hamna pressure, unasoma kitabu chako au unafyeka iPad au simu yako kwa starehe zako, hebu jaribu kwenye za kwetu ukione cha mtema kuni!

Waambie hao private cars zitawekwa pembeni pale tu hiyo public transport itakapokuwa kama ya Ulaya, na si kama ya sasa ambayo pamoja na uwepo wa private cars, hizo daladala bado hazitoshi kubeba idadi ya watu waliopo kwa wakati. Daladala ya watu 30 wanapanda 45-50, hlf bado wanasema private cars zibaki home au zisinunuliwe watu wapande usafiri wa umma! Hawajui wanachokiongea hawa.
 
uchumi umekua sana
Hasa tukimquote mkulu ambaye alisema anawashangaa wale wote wanaomcriticize kuhusu kauli yake na ahadi yake aliyoitoa mwaka 2005 kuwa atawaletea maisha bora kwa kila mtanzania, ushahidi unaonekana kwa kufurika kwa private cars jijini Dar!
 
Viongozi wao hawajui wakipita wao kingola cha trafik kinatangulia wao wanapita,kaz unayo ww.
 
Hujui unachokisema wewe! there's no comfort kwenye daladala hasa public transport ya DSM. Hivi kwanza unaishi mji huu au umepewa story tu?

Haahaaa mkishafika dar mnaona kuwa mmemaliza. Mie long time kitambo nipo hapa labda nikuulize wewe unaeona usafiri wa public haufai, una miaka mingapi toka uje dar? Uliwahi ona ekarusi kumbakumba za dar enzi ya UDA legendary.
 
Hujui unachokisema wewe! there's no comfort kwenye daladala hasa public transport ya DSM. Hivi kwanza unaishi mji huu au umepewa story tu?
Lakini mbona hilo jambo ni simple, ambalo linahusu policy making pekee.

Hivi kuna tatizo gani kuintroduce mfumo ambao utazicategorize daladala kwenye classes?

Kwa mfano class X ya daladala ikawa inatoza nauli ya hivi sasa ya shilingi 600 kutoka Kimara hadi Posta, lakini ikawa haina limitation ya abiria inaowabeba.

Lakini pia ikawa introduced class Y ya daladala ambazo zitakuwa zinatoza 1,500 per trip kutoka Kimara hadi Posta, kakini daladala hizo zikapewa condition za kubeba abiriria level seat na mabasi yao yakawa na AC.

Mbona hilo linawezekana kwenye Hotel Industry?

Ukienda Serena Hotel au Kilimanjaro Hyatt, bia ile ile inayozalishwa na TBL pale Ilala ambayo 'uswazi' utainywa kwa kutozwa 2,300 lakini bia hiyo hiyo ukiingia Serena au Kilimanjaro Hotel utainywa kwa 5,000 na hakuna mtu anayelalamikia hiyo difference kubwa ya bei kwa kunywa the same brand ya bia.

Hebu watunga sera wetu waintroduce hiyo kitu kwenye Transport Industry waanze kushuhudia 'muujiza' mkubwa utakaotokea kwenye foleni jijini Dar.
 
Ukijiweza Dar bora ununue helikopta. Adha ya foleni utakuwa umefaulu kuikwepa.

Wenzetu waliokwenda kumuangalia Maiweza na Pakuao walikwenda namna hii.........Ili kukwepa usumbufu..........
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    123.7 KB · Views: 145
Duu namshukuru Mungu ndo nafika kwa home.
Shkamoo foleni!
 
Hayo ni mashauzi tu. mtu nishasafiri siku tatu kwa kusimama ndo unaniletea visababu vya kizembe namna Hii. Hahahaa hii ni sawa na kumtishia Nuhu mafuriko ya jangwani.

Mkuu lazima miguu iliingia tumboni ukaichomoa na supana, hahahaaaaaa. ...... siku 3 wima? Ooh nop!
 
Back
Top Bottom