Hii foleni mbona balaa!

Hii foleni mbona balaa!

Chamamu

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2012
Posts
309
Reaction score
109
Jaman dar kunani? Mbona foleni hazisogei kabisaa ama na matrafic wapo kwenye mgomo sambamba na madereva? ????
 
sasa kama madereva wamegoma hiyo foleni imetoka wapi!!au magari yameamua kujiendesha yenyewe...
 
Daladala hazipo barabarani hata polisi hawaoni sababu ya kuongoza magari ili kupunguza foleni
 
Daladala hazipo barabarani hata polisi hawaoni sababu ya kuongoza magari ili kupunguza foleni

Kinachoshangaza foleni haitembei kabisaa, tangia saa kumi nipo hapa posta hakuna hata kusogea.
 
Nipo hapa morocco mataa kuna folen sijawahi kuona, naelelekea mwenge cjui nitafika saa ngapi
 
Wenye magari na wasio na magar karibia ngoma droo looohh. ..
 
Nipo hapa morocco mataa kuna folen sijawahi kuona, naelelekea mwenge cjui nitafika saa ngapi

Nafuu wewe upo Morocco, mie nipo posta na naelekea mwenge yet ninamatumain ya kufika leo. Ni shidaaaaa
 
Baada ya daladala kugoma, matrafic hawajapata chochote leo, hivyo nao wamejimuvisha home. Nyie na mikebe yenu si mnawagia tope tu? Tangu saa 11:00 jioni gari zimesimama mahali pamoja hapa Posta.
 
Ingekuwa daladala hazijagoma leo ungelala njiani.
 
Baada ya daladala kugoma, matrafic hawajapata chochote leo, hivyo nao wamejimuvisha home. Nyie na mikebe yenu si mnawagia tope tu? Tangu saa 11:00 jioni gari zimesimama mahali pamoja hapa Posta.

Yaani inaonekana ni hivyo kabisaaa
 
Sasa faida ya gari kwa jiji la dar nini?!!? Au sifa.
 
Back
Top Bottom