Mmejuaje?
Na ile ongea yake ya kizembeee!!!Yani nikimuona tu naanza kureply message zangu
Unajua jamaa anaonekana ana Mahela, na anamajigambo flani ya Kitajiri lakini akisahau anayaficha vizuri sana. Pale nadhani alitaka kuagiza yeye chakula lakini akakumbuka kua anatakiwa asijulikane kama ana Mahela.
Xia wei hili jamaa mimi nalipenda sana limekaa kizembe zembe mda wote limezubaa tu afu linaonekana lina hela ila linazuga tu!
Yani silipendi mpaka basi
hunishindi mimi
Na mimi naipenda sana, nilikuwa naakikisha siikosi popote nilipo,Ila kwa jinsi ilivyoendelea jana naona kila kitu kimekamilika, Baba amerudi kijijini, Mwl wu amehama, Wan li amepata ujauzito, Chichi ameolewa, Mdada Xiaomia amepata kazi aliyoitaka. Rafiki ya Xiaomia amepata mpenzi(japo ndoto yake ya kuigiza haijakamilika), Naona inakwisha.Mmejuaje?
Na mimi naipenda sana, nilikuwa naakikisha siikosi popote nilipo,Ila kwa jinsi ilivyoendelea jana naona kila kitu kimekamilika, Baba amerudi kijijini, Mwl wu amehama, Wan li amepata ujauzito, Chichi ameolewa, Mdada Xiaomia amepata kazi aliyoitaka. Rafiki ya Xiaomia amepata mpenzi(japo ndoto yake ya kuigiza haijakamilika), Naona inakwisha.
Yap, niliona kuwa Bonge kuna kitu alikuwa anaficha, kwanza alisema yeye ni dereva tu, halafu akasema kuwa amefukuzwa kwenye nyumba aliyokuwa akikaa, halafu yeye na dada wa Jin Tai Lang wali-crush wakiwa wamevaa fulana sare,Ni kama alipanga vile.Aisee halafu ni kweli ukiwa na mistaken identity inafanya watu wakuraisishe kwa hiyo unapata faida sana nimeipenda hiyo.Subiri leo tuangalie kama utabiri wenu Mtakua mmepatia. Ila ningependa kabla haija isha true identity ya Bonge anaejidai zuzu akiwa na Busara nyingi na Kuulamba kwa Kufa mtu, ijulikane kwanza. Mimi huyu jamaa ndio anaenifurahisha kuliko wote.
Mimi napenda sana Maisha ya MISTAKEN IDENTITY. Unakua free na unajua tabia za watu za ukweli.
Teh teh! Mda woote limezubaa tu! Af likinyuuka suti linapendeza ajabu na miwani yake!
Yap, niliona kuwa Bonge kuna kitu alikuwa anaficha, kwanza alisema yeye ni dereva tu, halafu akasema kuwa amefukuzwa kwenye nyumba aliyokuwa akikaa, halafu yeye na dada wa Jin Tai Lang wali-crush wakiwa wamevaa fulana sare,Ni kama alipanga vile.Aisee halafu ni kweli ukiwa na mistaken identity inafanya watu wakuraisishe kwa hiyo unapata faida sana nimeipenda hiyo.
Dah.Nimemisi sana jana
hivi unafikiri yupo mbali basi.....
Mabiiibi na Mabwana namleta kwenuu Boongee a.k.a Zembe lenye busara
Mama Shaomi Mcharuko. Ameshoboka kwa Jirani yake Mpya du! Sio mchezo.
Kwa Prof. huyu mama hachomoi.
Na ile ongea yake ya kizembeee!!!Yani nikimuona tu naanza kureply message zangu
Unajua jamaa anaonekana ana Mahela, na anamajigambo flani ya Kitajiri lakini akisahau anayaficha vizuri sana. Pale nadhani alitaka kuagiza yeye chakula lakini akakumbuka kua anatakiwa asijulikane kama ana Mahela.