Hii filamu ya Kichina TBC ni nzuri Sana !

hivi unafikiri yupo mbali basi.....
Mabiiibi na Mabwana namleta kwenuu Boongee a.k.a Zembe lenye busara

20130508020353883.jpg

yaaani hapo nikiliangalia nacheka tu bado halijakenua teh! Teh! Teh! Teh
just imagine sura utafikiri usalama au komando fulani hivi afu linaongea kizembe! ???
 
As if kitu kwishnei

Mbona haipo leo

Ngoma ilifika tamati jana.

Nimenunaje hapa nimeisubiri kwa hamu,ntaimiss kwelii

Ayaa! hii ngoma kama imeisha kimya kimya. It was so sweet. Sasa kwanini washikaji TBC hawaja tualati mapema. Anyway sio Mbaya ila filamu nyingine isikose Mzee Jin, Mama Shaomi, Mzee Mwanasheria anaesumbuliwa na Mapenzi, Bonge a.k.a Zembe lenye Busara etc.
 
Tusubiri nyingine tunaendeleza hapa hapaa
 
Dah, kweli hii kitu ilikua taamu sana, bongo movie wajifunze kupitia hii movie haswa matumizi sahihi ya muda, sio wanarufusha tukiio ili muda uende bila sababu, hawa jamaa mtu ukiasema anaenda sehemu fulani utamuona ameshafika sio paka wamuoneshe njia nzima anovyoenda.

Ni kweli itakua imeisha ndio maana wanatangaza filamu mpya itayoanza tarehe 27.
 
Nitaimisi muno

Wakuu Gemu over. Nimeona leo TBC wakithibitisha hilo. Filamu Mpya inaanza Jummane tarehe 27.

TOPIC CLOSED. Shukrani wadau wote kwa kupeana Mawazo, Furaha, vituko, Vichekesho, Huzuni na tabasamu. Thanks all.
 
Haijawa closed itakayoanza tunaiendeleza hapa hapaa au sioo
 
Hii ya sahiv wanayoitangaza nahisi walishawahi kuionesha hapa hapa TBC wanairudia tena

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom