Hhhhha huyo ndio shaumi bana akiamua kudeka hudeka kweliiii
Love is everywhere! There is always a thin line. Lakini Wadau huyu Bonge Shaweji anaonekana ana act life, anajisahau, inaonekana he is rich. Ule unusu utaahira wake ni wa kuekti tu. Anaonekana ni Tajiri na Mwenye Busara sana.
Mzee jin vipi? Mbona kama anacha usia.
Mzee jin vipi? Mbona kama anacha usia.
Anasepa migodini
Shape ya mama shaumi na nguo zake yani huwa nacheka tu
Kweliii ina maana anajifanya tu chizii alikua anampima huyo dada ili amuoe??umejuajee jee?
Anajisahau anajisifu uwezo wake alafu akishtukiwa anazuga kiaina. Mimi nilikua nikishangaa kuna taahira gani ana akili namna ile. Hata Mzee Jin amemkubali. Kama ni taahira asingekubali Mwanawe awe na uhusiano na Taahira.
Na hujiona mjanja sana,hapo.akivaa hivyo huenda kwa chichi
Na hujiona mjanja sana,hapo.akivaa hivyo huenda kwa chichi
Anajisahau anajisifu uwezo wake alafu akishtukiwa anazuga kiaina. Mimi nilikua nikishangaa kuna taahira gani ana akili namna ile. Hata Mzee Jin amemkubali. Kama ni taahira asingekubali Mwanawe awe na uhusiano na Taahira. Halafu kama utamchunguza bonge anaulamba mbaya. You can see he is not what he acts to be. He is just looking for Love, a perfect woman to Love and Marry for who he is and not what he is.
Mkwara wake tangu mwanzo alijifanya huko ghorofa ya juu alikokuwa anakaa kafukuzwa kwahiyo kaenda kuomba hifadhi pale,,,! Kiukweli ile tamthilia ina mafunzo mengi sana Usimdharau usie mjua,,,!