lolypop JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,425 Reaction score 1,691 Sep 8, 2018 #1 Hapa dully sykes naye katupia cha kwake Uwoya naye Katika ulimwengu wa roho hii ina maana kubwa sana
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 Sep 8, 2018 #2 Kwani Dully si nasikia alitatuliwa na Mwanaume ukishatatuliwa unaanza kuwa kama Giggy.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,498 Reaction score 27,813 Sep 8, 2018 #3 dully nae anamuiga mondi?? wazee wa kunusa unyunyu watampitia
911sep11 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2018 Posts 2,469 Reaction score 4,312 Sep 8, 2018 #4 like an oxen
lolypop JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,425 Reaction score 1,691 Sep 8, 2018 Thread starter #5 Mbao za Mawe said: Kwani Dully si nasikia alitatuliwa na Mwanaume ukishatatuliwa unaanza kuwa kama Giggy. Click to expand... nomer mzee baba
Mbao za Mawe said: Kwani Dully si nasikia alitatuliwa na Mwanaume ukishatatuliwa unaanza kuwa kama Giggy. Click to expand... nomer mzee baba
lolypop JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,425 Reaction score 1,691 Sep 8, 2018 Thread starter #6 fundi bishoo said: dully nae anamuiga mondi?? wazee wa kunusa unyunyu watampitia Click to expand... dully hazeeki mwenzake blue ameacha kuvaa hereni, dully ndo katoboa pua kabisa
fundi bishoo said: dully nae anamuiga mondi?? wazee wa kunusa unyunyu watampitia Click to expand... dully hazeeki mwenzake blue ameacha kuvaa hereni, dully ndo katoboa pua kabisa
k-bee JF-Expert Member Joined Aug 30, 2017 Posts 1,023 Reaction score 1,185 Sep 8, 2018 #7 Katika ulimwengu wa roho hii ina maana kubwa sana Inamaana gan mkuu hebu tujuze
Ndikwega R I P Joined Feb 1, 2012 Posts 5,979 Reaction score 5,529 Sep 8, 2018 #8 k-bee said: Katika ulimwengu wa roho hii ina maana kubwa sana Inamaana gan mkuu hebu tujuze Click to expand... Yule kahaba anayezungumziwa kwenye Bible Ufunuo wa John! Anakunywa Damu za Watatkatifu!
k-bee said: Katika ulimwengu wa roho hii ina maana kubwa sana Inamaana gan mkuu hebu tujuze Click to expand... Yule kahaba anayezungumziwa kwenye Bible Ufunuo wa John! Anakunywa Damu za Watatkatifu!
lolypop JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,425 Reaction score 1,691 Sep 8, 2018 Thread starter #9 k-bee said: Katika ulimwengu wa roho hii ina maana kubwa sana Inamaana gan mkuu hebu tujuze Click to expand... ngoja nikuitie Mshana Jr
k-bee said: Katika ulimwengu wa roho hii ina maana kubwa sana Inamaana gan mkuu hebu tujuze Click to expand... ngoja nikuitie Mshana Jr
BARDIZBAH JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 6,410 Reaction score 13,052 Sep 8, 2018 #10 Ni ushoga tu
Emmanuel_Adam14 JF-Expert Member Joined Dec 25, 2015 Posts 669 Reaction score 745 Sep 9, 2018 #11 Hapo kwa dully mm naona kama ng'ombe aliyefunguwa kamba puani!!
Elvis Legacy JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 4,944 Reaction score 7,966 Sep 9, 2018 #12 Dah! Mambo mengine sio ya kuiga