The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,460
- 12,264
Nimeangalia video, rais na wasaidizi wake hawakufurahia,Kuna ile kauli: "MSICHANGANYE DINI NA SIASA" hapa naona haihusiki. Ndio kusema mzani umelalia upande mmoja?
Hii ni dua iliyotolewa na Shekhe mmoja hapo kwenye sherehe ya May mosi. Hebu isikie kama hukupata wasaa huo;
View attachment 3321853
Wameona aibu hata waoNimeangalia video, rais na wasaidizi wake hawakufurahia,
Mola na mungu ni watu.wawili tofauti.aha ha ha ahaaKuna ile kauli: "MSICHANGANYE DINI NA SIASA" hapa naona haihusiki. Ndio kusema mzani umelalia upande mmoja?
Hii ni dua iliyotolewa na Shekhe mmoja hapo kwenye sherehe ya May mosi. Hebu isikie kama hukupata wasaa huo;
View attachment 3321853
Tena mlo ndondo chapati.Kila mmoja wetu anatafuta mlo View attachment 3321928
Unaweza ukathibitisha haya?Nimeangalia video, rais na wasaidizi wake hawakufurahia,