Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Haaaaa..... mbele na nyuma, french draft!hapo kuingia kingi kwa draft hii unakula mbele na nyuma, ndio utaona draft ilivyo.
umepakua wapi hiii?
Unahitaji Maombi!.
Aisee!Nianzapo kucheza drafti huwa naamua tu kuwa sasa niache vinginevyo jua linazama mpaka linachomoza hayupo wakunishinda... Dadadeki