nimefurahi sana clouds walivyotoweka,
kesho wapige hii story kinafiki kwenye kile kipindi hao cha asubuhi.
mimi sio m'bongo,Unaonyesha ni jinsi gani wabongo tunavyoombeana matatizo ili tuchekana!!! Dah!! Kazi kweli kweli!!! Sasa kimekufurahisha nini???!!
mimi sio m'bongo,
nitake radhi tafathali.
Unaonyesha ni jinsi gani wabongo tunavyoombeana matatizo ili tuchekana!!! Dah!! Kazi kweli kweli!!! Sasa kimekufurahisha nini???!!
Nisamehe bure saba mara sabini. Labda sentensi ingesomeka hivi: "Unaonyesha ni jinsi gani binaadamu tunavyoombeana matatizo ili tuchekana!!! Dah!! Kazi kweli kweli!!! Sasa kimekufurahisha nini???!!"
nimefurahishwa na furaha mkuu.
Nyie wakongwe wa JF embu acheni CHAI
Clouds TV si wapenda vya bure! Nasikia walikubaliana na startimes wawekwe for free na wao watarusha matangazo yao for free, sasa Startimes si ishajulikana so wamekataa kuwarusha bure na wenyewe wameijtoa, sasa hivi wako zuku wanarushiwa matangazo yao for free tena!
Hii nchi ukiwa mjanja safi sana!
Mkuu upo? Heri ya mwaka mpya!!!