PostGE2025 Hii dhana ya CCM kuwa watu wanatumwa inatokana na nini?

PostGE2025 Hii dhana ya CCM kuwa watu wanatumwa inatokana na nini?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hao ccm hawataki kukubaliana na ukweli. Kwa sababu wao wamezoea kukaririshana na kutuma watekaji na wauaji, wanadhani kila mtu anatumwa!
 
Tuwaulize wao wanao kuwa na machawa,ID feki za kuwasifia na kununua baiskeli zao
 
Kwani Watanzania hawana akili za kujitegemea mpaka wawe wanafanya mambo kwa kutumwa ana kuchochewa na wengine?

Wao CCM huwa wanafanya mambo yao kwa kutumwa ama kuchochewa na nani?
Ni namna ya kukwepa uwajibikaji kwa kuaminisha umma (kitaifa na kimataifa) kuwa wako vizuri na raia wao, isipokuwa watu kutoka nje ndio wanaowachochea, hivyo hawatatekeleza matakwa ya raia kwa kisingizio ..walitumwa!
 
Kuishiwa kwa hoja na kuamini watanzania wote bado wajinga wajinga..
Naamini wao wenyewe wanajua ukweli, wanayotenda kwa taifa ni hovyo na wamechokwa, ila wanaropoka hivi ili waendelee kuwepo pale, waendelee kuiba
 
Walipanga Maandamano tarehe ya hovyo sana.

Kuwakomesha hawa washeni ni kuweka sikukuu za kidini.
Kama Chistmars.
Mwaka mpya.
Pasaka.
Idi nk.

Wameipa selikali ushindi wa Bure ka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom