Hii course inahusu nini wakuu?

Head prefect

JF-Expert Member
Apr 16, 2013
225
106
Wakuu nimepata multiple selection.

Nimechaguliwa SUA Bachelor of records and information management wakuu. Inahusika na carrier gani haswa?

Nimechaguliwa pia Mzumbe bachelor ya Business administration and marketing management. Hii najua inahusika na biashara na masoko.

Ipi ina soko kwenye uwanja wa ajira wakuu?

Nisaidieni tafadhali wakati tunasubiri code kutoka TCU wakuu nijue nachagua kipi kati ya hivyo.
 
Hiyo ya rekodi ni utunzaji wa kumbukumbu na nyaraka mbalimbali.
Kwa sasa ina ajira. Hivi SUA nao wanaifundisha kumbe!!!!
NIlijua ni kule Mzumbe tu.

All in all karibu Mzumbe, hutajuta ila uandae msuli wa kusoma, hapa unakuja kusoma sio kuchukua degree. Karibu sana MU usome kwa maendeleo ya watu
 
hii ni kutunza kumbukumbu za officen ila sijui kama itakuja kuwa na soko maana tunakoelekea mabos wanafanya mambo yao kwenye electronic devices sasa hata data anaweza weka Kwa flash akasave ela ya mpanga mafile officen kwake
Shukran mkuu
 
Hiyo ya rekodi ni utunzaji wa kumbukumbu na nyaraka mbalimbali.
Kwa sasa ina ajira. Hivi SUA nao wanaifundisha kumbe!!!!
NIlijua ni kule Mzumbe tu.

All in all karibu Mzumbe, hutajuta ila uandae msuli wa kusoma, hapa unakuja kusoma sio kuchukua degree. Karibu sana MU usome kwa maendeleo ya watu
Nakuja mkuu
 
Mi nasoma marketing lkn NIT , nakushauri kasome mzumbe uko marketing management huto juta, ina career nyingi Sana ndani yake.....!!!! Unawez kuwa pricing strategy manager, branding manager, sales manager.... yani vitu kibao!!!!!! Kweny suala la ajira bila Shaka ipo vzr lkn najua utasoma Na entrepreneur ship ko kujiajiri pia ni rahisi coz utakuwa mwepesi ku spot opportunities...!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazingira,anaeisoma anakua environment expert.Course za namna hii chagua kama unamatokeo mabovu zinasumbua sana
 
Mie nimechaguliwa Muhimbili Environmental health na SUA Agricultural Economics and Agribusiness nikasome kozi ipi wadau?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom