Hii clip imenitia simanzi Sana

Hivi aliyekudanganya kuwa ukipigwa risasi ya kichwa unatapatapa Ni Nani?..
Halafu hyo sauti uliyoisikia ni kabla hajapigwa risasi....
Kilichokuchanganya Ni kudondoka kwako kabla ya mlio wa bunduki...
Utambue kwamba bunduki hutoa sauti pale risasi inapokuwa imeshatoka na kufikia mahali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sihangaiki na mlio.
Kama ni professional hutakaa usumbuke nani amekuambia ukipigwa risasi unaanguka softly
Lakini pia bado umekiri kuwa edited maana umesema ile sauti ilirekodiwa kabla ya kupigwa risasi.
Labda sema akawa poisoned na ku colapse.
Hii sasa ni sawa na hizi movie zetu kuwa
Mtu anapigwa risasi full magazine akiwa anaendesha pikipiki anaenda zaidi ya mita 20 anapaki pikipiki kwenye mti halafu anakufa kwa kupigwa risasi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jombaa sio kila risasi inakurusha inategemeana na silaha na silaha..
Unaona kabisa kichwa kimefumuliwa unasema edited!???

Halafu unatakiwa ujue kuwa kuna umbali na umbali ambao Mpigaji akisimama basi mpigwaji unaweza kuomba hata maji ya kunywa..
Kwa silaha hyo bastola Mpigaji angesimama walau mita 10 au 15 huyo askari angegalagala lakn kwa umbali huo huwez kugalagala...

Na aliyekuambia alshaabab wanafanya acting Ni Nani?
Kama wanaua ndani ya Kenya yawezekana kufanya acting kwa mateka??!
Shirikisha ubongo sio ubishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imategemea na uelewa wako juu ya hii kitu ubongo na utendaji wake.
Hivi nikuulize mfano unakatwa kichwa at par je miguu na mikono haiwezi kuwa na movement yoyote?
Ila umekiri iko Edited japo kwa kuandika unakataa huku ukikubali ile sauti imeingizwa maana ameingea kabla hajauawa. Hoja ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sauti ninayoisema mm Ni ile inayojirudia akiwa amelala chini...
Labda nikuulize ili nijue nabishana na mtu wa Aina gani....
Ktk maisha yako ya kawaida ushawahi kuona live mtu akiuwawa kwa kupigwa risasi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono

Mtu gani anapigwa risasi hata kufurukuta hufurukuti ???
Kifo kina maumivu sana.
Jamaa kalala kama chali vizuri tu huku kaweka mkono kifuani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe nafikiri unachembechembe za kigaidi...
Mkuu nenda YouTube halafu andika kwenye search:- who start terrorist
Nyamaza acha kuropoka usiyoyajua, yaani watu makumi wafe hasa kibiti bado unadai ilikuwa siasa? kwa manufaa yapi sasa! hebu kuweni na breki kwenye ndimi zenu, askari polisi na raia wameuliwa wewe unapotosha wenzio?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi umewahi kuwaona hao magaidi kwenye tv wakioneshwa wamekamatwa? Vile vipolo vya maiti baada ya nchi za nje kusema watakuja kuleta wapelelezi mbona ilisimama hafla? Serikali mbona inakataa wapelelezi wa nje kuhusu Lissu na Mo Dewji? Chatu hakumezi mpaka akuzunguke na kuanza kukumeza kidogo dogo.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Nchi hii imejaa wajinga wengi sana mmoja ni ww .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmefikiria huyo askari alikuwa ktk Hali gani View attachment 1001060

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawa sio Alshaabab na hilo sio tukio halisi limetengenezwa tu.

How comes adui anatoa advice kwa watu anao pigana nao " kambi yenu ikivamiwa bora mkimbie" The real Alshaabab would prefer to find you at the same place in large number so that they kill.as many people as they can . So.how comes huyu jamaa anawashauri wakimbie.

Kingine umewahi kuona wapi MTU anapigwa risasi hafurukuti.

Hata bata akipigwa manati ya kichwa huwa anakufa kwa kufurukuta sembuse binadamu kupigwa risasi ya kichwa

I think.hii ni kampeni kumshawishi Uhuru atoe majeshi Somalia.

So.wanangu msisikitike sana.wakati baba yenu nipo
 
Mkuu nataman nielezee mengi lakn acha yapite tu..... P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…