Hujui unalolisema.. Umekaa na kukisia.Rufiji, Kibiti na Amboni Tanga hakukuwa na magaidi ule ni mchezo wa siasa tu. Huo mchezo unaitwa tengeneza tatizo halafu litatue, gaidi siri zao kama jasusi mpaka washambulie ndio huwaona wakijisifu.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Duuh kweli wabongo waoga sana unachaje kazi kisa ka clip tu haka?Eh nimebaki naangalia sim had ikaingia lock mtu akiona hivyo akisikia kuna nafasi za jeshi haendi ata mm siendi
Sent using Jamii Forums mobile app
Najaribu kuifungua lkn haifunguki!clip inatia hasira na sio kusikitisha. Ai wishi ai kud be IGP wa Kenya, no retreat nikuwafutilia mbali magaidi wote.
Wanatafuta tu kumchonganisha rais Uhuru na wakenya, kana kwamba yeye ndio chanzo cha mateso kwao.
Ipo siku hata somalia wataikimbia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kuna magaidi wangapi walokamatwa na kuoneshwa kwenye tv kama majambazi wanavyo oneshwa??
Hata mimi!!!siifungui ng'o
Wewe genius wa lumumba CCTV ya Tanzania na ya Kenya ipi ipo safi kwanza. Akikamtwa jambazi anaoneshwa kwenye luninga lakini gaidi inakuwaje?? Hata wale wa uamsho hakuna ushahidi zaidi ya kuwaonea tu.Acha bange wewe jamaa na akili zako za ufipa
Pamoja na kueleza kwa uzuni alitolewa uhai ni hatari sana kama ndugu walifichwa na sasa wanaona anavyojieleza ka kuuwawa sijui watajisikiajeHata mimi!!!
Kwa hiyo wakuu huyo mnaemzungumzia hapa baada ya kutoa hizo siri walimuuwa au?
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Nipe whatsapp # nikupatie inbox, utaangalia ukipata savanna mbiliKwa hizi comments hata siiangalii
Ikoje kwani?
Hizo savanna ntazikuta inbox?[emoji23]Nipe whatsapp # nikupatie inbox, utaangalia ukipata savanna mbili
Asante kwa kunijuza ndugu!Pamoja na kueleza kwa uzuni alitolewa uhai ni hatari sana kama ndugu walifichwa na sasa wanaona anavyojieleza ka kuuwawa sijui watajisikiaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Haitishi wala kuogofya angalia tuKwa hizi comments hata siiangalii
Mkuu napatwa na hasira Sana juu ya Hii picha... Hivi watoto wake wakiiona itakuwaje?Pamoja na kueleza kwa uzuni alitolewa uhai ni hatari sana kama ndugu walifichwa na sasa wanaona anavyojieleza ka kuuwawa sijui watajisikiaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh hapana labda kesho
Yaani siyo wewe nimeumia sana bora yangekuwa mapambano yaani alivyokuwa anaongea mzee wa watu mpaka pale amekaa anatazama chini anasubiri nini kinatokea kwenye mwili wakeMkuu napatwa na hasira Sana juu ya Hii picha... Hivi watoto wake wakiiona itakuwaje?
Nmeumia Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii video yani mpaka sasa najuta kuiangalia. Inaumiza sana.Yaani siyo wewe nimeumia sana bora yangekuwa mapambano yaani alivyokuwa anaongea mzee wa watu mpaka pale amekaa anatazama chini anasubiri nini kinatokea kwenye mwili wake
Sent using Jamii Forums mobile app