Hii clip imenitia simanzi Sana

Niliiona leo asubuhi, hakika nilijisemea moyoni bora nisingeitazama kabisa.

Inasikitisha sana.
Al- shabaab hawa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli lakn mm na wewe hatujajua ni kiasi gani alipata Mateso mpaka kufikia kukubali kutamka Hayo maneno,
Kikawaida kijeshi unapokuwa uwanja wa medani hutakiwi kumaliza risasi zote inapofikia hatua ya kutekwa ile risasi uliyobakiza unajimalizia mwenyew...

Ukitekwa lazma utafuata maelekezo ya watesi.. Hayo mambo yasikie tu lakn yasikukute... Maana yawezekana huyo Jamaa mpaka hapo hakuwa na baadhi ya viungo ambavyo hunyofolewa kwa prise, mkuki wa moto n. K

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni hatari sana!
Magaidi sio watu wazuri Ndio maana nawakubali sana wanausalama wa TZ kuumaliza ugaidi uliokuwa unaanza taratibu kure kibiti na rufiji
mtu akiwa na chembechembe za Ugaidi sio wa kuonea huruma hata kidogo
Rufiji, Kibiti na Amboni Tanga hakukuwa na magaidi ule ni mchezo wa siasa tu. Huo mchezo unaitwa tengeneza tatizo halafu litatue, gaidi siri zao kama jasusi mpaka washambulie ndio huwaona wakijisifu.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Sio clip ya kuangalia aisee. Magaidi sio kabisa.
 
Watu wa Rufiji, Kibiti na Amboni wakiona andiko lako hili watastaajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fact

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…