Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 52,099
- 23,626
Baada ya yanga kuchjkua ubingwa. Wa nbc
Nashauri hii bodi ichukue mda kujitafakari ijiuzulu tu
Wasione aibu kwa yale yalioendelea kwenye hii ligi huu mwaka n kichefuchefu
Pia mabosi wa waamuzi wote washauriwe kujiuzulu.
Tumechoka sana yaan marefa wanaingia na matokeo uwanjani na kukataa magoli then wanaondolewa kwenye ligi kwa mechi 3 mpaka 5 huu ni uhuni.
Tufike wakati tuchukue hatua za haraka kulinda ligi yetu.
Yaan inasikitisha majuzi kuona marefa wawili wanatuhumiwa kukataa magoli halali huu n uhuni hawa awajafanya kwa bahati mbaya kuna mikono ya watu.
Alafu unawaondoa kwemye mechi 5 za ligi huku timu kama zote zimebakiza mechi 2 mpaka 4 kumaliza ligi huu uhuni usiruhusiwe.
Watu wawajibike bingwa ashapatikana tutafute solution pls.