jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,781
Huu uzi naona umenisaidia kujua new terminologies!!!! Kwa hiyo huko Russia bado hawajapata hizo spare au?
Tiba
Nakumbuka hii ishu ya boti ilileta uhasama sana hadi mijahidina ikawa inatokwa povu et magufuli akuziruhusu zisipite kwenye barabara zetu kwa sababu mwenye boti Muislamu. Naye Magufuli akajitokeza bila kumung'unya mdomo na kusema ni yeye kasema hapana kama vp mniombee albadili[/QUOTE]
matako yako acha unafiki
Asante kwa kutufahamisha zilipo. Je unajua ni kwa nini hazifanyi kazi?
Tiba
Ukirusha jiwe gizan usikie sauti ujue limempata. ...fagusanubis dackbilded choroptra weweNakumbuka hii ishu ya boti ilileta uhasama sana hadi mijahidina ikawa inatokwa povu et magufuli akuziruhusu zisipite kwenye barabara zetu kwa sababu mwenye boti Muislamu. Naye Magufuli akajitokeza bila kumung'unya mdomo na kusema ni yeye kasema hapana kama vp mniombee albadili[/QUOTE]
matako yako acha unafiki
Inasemekana zile boti ilibidi zikatwe ili ziweze kupitia pia Mombasa sasa kufika Victoria zikawa hazina ubora ule ule zikawa zinaleta mushkeli
Asante kwa kutufahamisha zilipo. Je unajua ni kwa nini hazifanyi kazi?
Tiba
Ndugu yangu nakushukuru kwa maelezo mazuri ambayo hayana terminology mpya kwangu. Kwa hiyo kwa lugha nyingine wamiliki walishindwa kurekebisha hizo kasoro ili ziweze kuendelea kutoa huduma? Kwa kumbukumbu zako, nani alikuwa ni mmiliki?
Tiba
Hakijapatikana na walishauriwa watafute nyprothesesing au greanpodosivic toka Russia
Wanatumia dichlorodiphenyltrichloroethane kutengeneza hivyo vitu
Hizi boti aka magofu zipo fukweni pale Mwanza pembeni mwa yale mawe maarufu kando na gate la ferry za kamanga na kwa mbali kidogo ni bandari ya Mwanza.
Boti zpo zmepaki pale rock beach
Mkuu Tiba honestly speaking inawezekana hizo boti zilikuwa zinagusa maslahi ya baadhi ya viongozi kwasababu wenyewe wana vyao tayari ziwa victoria. Kwahyo inawezekana ni hujuma imefanywa tu kuzizima zipaki wao wapige pesa.
Simple waliingia mkenge bila kufanya feasibility study ili kujua kujua operating cost vs revenue/income kama ni profitable matokeo yake mradi haulipi. Ndo hasara hizo Za poor investment !
Kwa hiyo kwa sasa hazifanyi kazi? Ni nini hasa kilisababisha hizi boat kupaki badala ya kutoa huduma iliyokusudiwa?
Tiba
Mmmh zinaitwaje? I suss you just talk anecdotally