Hivi ina maana Tanzania haina mtandao (online database) unaoonesha usajili wa vyombo vya usafiri wa angani, majini na nchi kavu?
Ipo lakini maalum kwa jeshi tuu
Duh!!! sasa usiri wote huo wa nini...
Hivi vyombo vya usafiri vya umma vilipaswa kujulikana nyendo zake na watu wote wajue...
Hiko kifaa kiliungua baada ya kugonga mwamba unaoitwa frooktotostabolization mofatti
Zipo mwanza sielewi fukwe gani lakini nikiwa naenda ukerewe naziona zimepaki,
Hivi ina maana Tanzania haina mtandao (online database) unaoonesha usajili wa vyombo vya usafiri wa angani, majini na nchi kavu?
Wadau,
Miaka michache iliyo pita, kuna boat ilinunuliwa na tajiri mmoja kufanya safari zake kati ya Mwanza na Bukoba. Boat hii ilileta gumzo kubwa kwani Magufuli kama waziri wa ujenzi alikataa hiyo boat isisafirishwe kupitia barabara zetu kutoka Dar kwenda Mwanza kwa madai ya kulinda barabara. Hatimae boat hii ilisafirishwa kupitia Mombasa na mwisho ilifika Mwanza na kuanza safari zake kati ya Mwanza na Bukoba.
Nani anayejua hii boat ilipatwa na nini na kwa sasa iko wapi?
Tiba
Hiko kifaa kiliungua baada ya kugonga mwamba unaoitwa frooktotostabolization mofatti
Kwa hiyo hicho kifaa hakijapatikana spare yake mpaka leo au?
Tiba
Upo sawa kabisa mkuu, na baada ya kukosekana kwa spare ya hicho kifaa ilibidi management iamue wazipak pale karibu na rockbeach hotel, na sasa zimegeuka breeding grounds za kenge aina ya hermaphroditocytoplasmopolitology kengeus wanaopatikana pale bismarck rock karibu na kivuko cha feri za kamanga.
Asante kwa kutufahamisha zilipo. Je unajua ni kwa nini hazifanyi kazi?
Tiba
For what i know, baada ya kuletwa mwanza zilianza safari kama kawaida, ratiba ilikuwa kutoka mwanza saa 3 asbh mpk bukoba saa 9 mchana, nyingne ilikuwa inatoka kwa muda ule bkb, baadae ikawa saa 1, then saa 6 mza, thn saa 7, saa1 bkb, i mean go and return
Accidently ya kwanza ilipgwa na dhoruba kali kiasi cha kushndwa kufka kwa wakati, baada ya saa 6 za ratiba ikafka baada ya saa 10, (kumbuka kuletwa kwake kulitawaliwa na figisufigisu nyingi ivo iyo ikawa sababu ya kusimamishwa rasmi), boti ya pili ambayo iliendlea kufanya kazi ilipata tatzo la kuzimika injin ikiwa katikati ya ziwa siku moja mm nimetoka bukoba, ilibaki huko muda mwingi kuanzia asubuh saa 4, ilipata msaada saa 11, jion na abiria walifka mwanza saa 4, usiku, baada ya kuvutwa na mv ukerewe,
Baada ya pale boti zile zikasimamishwa rasmi tatzo jingn lilikuwa ni viwango vya nauli mfn kipindi icho nauli to bkb victoria ilikuwa
Daraja la tatu 8600
daraja la pil kukaa 10600
Daraja la pili kulala 12600
daraja la kwanza 23500
cabin ilikuwa 35000
Mabasi kipindi icho hayakuwa meng, mohamed trans na bunda ilkuwa arround 12000~15000
Wakati izo boti naul ilkuwa 23000~35000 kwa madaraja ya kwanza.
Kwa hiyo kwa namna fulan kuahrbka kwa boti izo ambazo tuliambiwa zitapunguza muda mwngi wa safari ilikuwa kama kujichimbia kaburi kwa wamiliki.
Kifupi kulikuwa na comftability ya hatari, zilisafiri mchana watu kupata raha na kuangalia mandhari ya ziwa victoria, tofaut na meri ambayo ufanya safari usiku, haikuwa tofauti na kupanda fastjet ukiachilia mbali suala la muda.
boti hizi pia zlipunguza muda wa safari kutoka saa 13 majini ( mv victoria) na saa 14-15 (mv serengeti) mpaka saa 6.
Ndugu yangu nakushukuru kwa maelezo mazuri ambayo hayana terminology mpya kwangu. Kwa hiyo kwa lugha nyingine wamiliki walishindwa kurekebisha hizo kasoro ili ziweze kuendelea kutoa huduma? Kwa kumbukumbu zako, nani alikuwa ni mmiliki?
Tiba