Hahahaa. Waif anaheshimu sana maamuzi yangu, anajua ukweli kuwa mie si mharibifu. Kama ni gambe ni gambe tu mengine naweka pembeni. Hana pressureKwa hiyo ina maana shemeji huwa hakutafuti hata ukiwa misele mida mibovu?
Acha kabisaHahaa wife anakaba sana.
kabla ya kuwekwa zote zinakaguliwa..Hapo flight mode tu dawa yao