Hata IKIWA IMETOKA LAZIMA AUMIE DAY1!!!!!!!!!! UTAJUA TUUUU!!!!!!!!!!!! Ukiona zoezi la day 1, limeenda tambarare na mtu anaejoy kabisaa jua hamna kitu hapo!!!!!!!!! Kufungua Njia ni ZAIDI YA ADHABU!!!!!!!!! Utangatwa, utatukanwa, utafinywa!!!!!!! Yahitaji uwe na roho ya mchongoma atiiiiii!!!!!!!!!!!! Waweza susia zoezi la ufunguzi!!!!!!