Hii bikra imetokaje?

very painfull, uchungu mfano wa mtu anapitisha gunzi la muhindi!
 
How can partiners reduce discomfortability during sex, if the female is virgin?
 
Ndiyo inawezekana, Mimi mwenyewe siku ya kwanza sikusikia maumivu kihivyo wala sikutokwa na damu sasa sijui ilitoka yenyewe au sikuzaliwa nayo. Na hicho kitu huwa najiuliza na kubaki bila jibu.
 
mmmmmh, acha bana, kwani jamaa yako yuko hapa ndani?
 
dah! nimemkumbuka mpenzi wangu wa zamani......
 
Sitaki kuzisikia hizo vitu,nikikuta nwanamke anayo tunaachana kabisa arifu,utakuaje na bikra?
Mi nataka smooth penetration,sitaki obstales yoyote,itolewe kabisa huko ndo uje kwangu
 
Hahahahahahaha hutaki kuchoshana sio bana

Sitaki kuzisikia hizo vitu,nikikuta nwanamke anayo tunaachana kabisa arifu,utakuaje na bikra?
Mi nataka smooth penetration,sitaki obstales yoyote,itolewe kabisa huko ndo uje kwangu
 
mmhh umenikumbusha mbali.... siku hizi adimu......
 
Ndiyo inawezekana, Mimi mwenyewe siku ya kwanza sikusikia maumivu kihivyo wala sikutokwa na damu sasa sijui ilitoka yenyewe au sikuzaliwa nayo. Na hicho kitu huwa najiuliza na kubaki bila jibu.

Maandalizi before sex ni jambo la msingi kwa mwanamke bikra thats why ukuumia kiivyooooooooooooooooooooooooooooo
 
Kwa wadada wa mjini ukiona hana ujue alishaanza kugawa kitamboIla kwa vijijini kutokana na ugumu wa maisha walking long distances kuendesha baiskeli kubeba mizigo mizito huchangia
 
Maandalizi before sex ni jambo la msingi kwa mwanamke bikra thats why ukuumia kiivyooooooooooooooooooooooooooooo

Wala hata maandalizi hayakuwepo, maana mtu mwenyewe aliniingilia kinguvu, mimi nilikuwa sitaki kumpa kwa wakati huo yeye akang'ang'ania nikakubali yaishe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…