moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 8,043
- 16,888
[emoji120]blessedKila msimu wa big brother huwa wanachagua jina. Mfano kuna mwaka iliitwa big brother all stars.
Kwahiyo ni jina tu
[emoji120]blessedKila msimu wa big brother huwa wanachagua jina. Mfano kuna mwaka iliitwa big brother all stars.
Kwahiyo ni jina tu
Pamoja MkuuOouh asante mkuu
[emoji16][emoji16]Startimes chaneli gani? [emoji44][emoji848]
Hata Humo Kwenye Big brother Wapo BibieHata siielewi kwa kweli. Bora uje msimu wa Mr World Mens.
Nafaidigiii kuwatazamaa ma handsome, aiiiiiiiiiii
Aaaah hawashawishi hata.Hata Humo Kwenye Big brother Wapo Bibie
Safari hii kuna pisimbovu za kutosha, afadhali wanaumeAaaah hawashawishi hata.
Hao wanawakee sishughuliki nao, huwa nakua buzzy kutazama wanaumee, ila wa mwaka huu hapanaa.Safari hii kuna pisimbovu za kutosha
😂😂😂🙆🏻♀️[emoji16][emoji16]
Mwaka huu washiriki wote sura za uswekeni😆😂🙆🏻♀️Aaaah hawashawishi hata.