Hii bidhaa nimeikuta dukani kwa mangi!!

Hii bidhaa nimeikuta dukani kwa mangi!!

kivyako

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
14,341
Reaction score
12,068
Ni mashine ya kunyolea na ni 'made in China'
 

Attachments

  • Al shabab.jpg
    Al shabab.jpg
    196.6 KB · Views: 814
Ukinyolea hiyo unageuka kuwa alshabab wa kulipua majengo na kuua watu ovyoo kimbia ukute mangi keshakuwa agent wa alshabab anawauzia bidhaa zao ili wapate hela za kununua silaha na mabomu looh
 
Ukinyolea hiyo unageuka kuwa alshabab wa kulipua majengo na kuua watu ovyoo kimbia ukute mangi keshakuwa agent wa alshabab anawauzia bidhaa zao ili wapate hela za kununua silaha na mabomu looh
Nahisi vile vile iko restricted na maeneo ya kunyoa!! ha ha ha
 
kivyako
attachment.php

.. Hao wa Somalia wanaitwa
  • Harakat al-Shabaab al-Mujahideen (HSM)
  • Kwa kiarabu: حركة الشباب المجاهدين‎; Ḥarakat ash-Shabāb al-Mujāhidīn
  • Kwa kisomali: Xarakada Mujaahidiinta Alshabaab,
  • Mujahideen Youth Movement" or "Movement of Striving Youth

Labda mtengenezaji aliwatageti vijana kama soko lake maana:


al-Shabaab (Arabic: الشباب&#8206😉, meaning "The Youth", "The Youngsters" or "The Boys"
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom