KERO Hii biashara ya Mchanga wa Makaburini eneo la Kishenge (Bukoba) ni Mradi wa Halmashauri?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kwenye Mji wetu wa Bukoba Mkoani Kagera Uongozi wa Mkoa ulitangaza kuhamisha makaburi ya Kishenge ili kujenga kitega uchumi, lakini sasa eneo hilo limegeuka kama ‘dili’ la ushirikiana.

Walitoa makaburi kadhaa kisha watu wakaanza kuchimba mchanga wa makaburini (eneo ni mchanga mtupu). Sasa halmashauri imeanza kufanya biashara ya kuuza mchanga wa Makaburini.

Pia soma:
- Wananchi wakubali kuhamishwa makaburi Kishenge
- Madai ya Halmashauri Bukoba kuuza mchanga wa makaburi ya Kishenge, magari yapigwa marufuku kuingia eneo hilo

Binafsi kiimani sijajua mchanga huo una nguvu gani lakini kwa siku ukipita pale kuna utitiri wa magari yanayonunua mchanga huo. Magari yanatokea mbali sana kusaka huo mchanga.

Nadhani Viongozi wa juu wafuatilie kinachoendelea katika biashara hiyo, je inawanufaisha wachache au ndio imekuwa biashara ya Halmashauri yetu? Na je, kutolewa kwa mchanga huo hakuwezi kuathiri eneo husika uwekezaji utakapoanza?
photo_2026-01-10_12-46-25.jpg

photo_2026-01-10_12-46-24.jpg

photo_2026-01-10_16-59-32.jpg

==============================

Screenshot 2025-12-23 094719.jpg

Screenshot 2025-12-23 094804.jpg

Screenshot 2025-12-23 094837.jpg
===============
1 Bukoba.jpg

2 Bukoba.jpg

3 Bukoba.jpg

Kwenye Mji wetu wa Bukoba Mkoani Kagera Uongozi wa Mkoa ulitangaza kuhamisha makaburi ya Kishenge ili kujenga kitega uchumi, lakini sasa eneo hilo limegeuka kama ‘dili’ la ushirikiana.

Walitoa makaburi kadhaa kisha watu wakaanza kuchimba mchanga wa makaburini (eneo ni mchanga mtupu). Sasa halmashauri imeanza kufanya biashara ya kuuza mchanga wa Makaburini.

Pia soma - Wananchi wakubali kuhamishwa makaburi Kishenge

Binafsi kiimani sijajua mchanga huo una nguvu gani lakini kwa siku ukipita pale kuna utitiri wa magari yanayonunua mchanga huo. Magari yanatokea mbali sana kusaka huo mchanga.

Nadhani Viongozi wa juu wafuatilie kinachoendelea katika biashara hiyo, je inawanufaisha wachache au ndio imekuwa biashara ya Halmashauri yetu? Na je, kutolewa kwa mchanga huo hakuwezi kuathiri eneo husika uwekezaji utakapoanza?
===============
Ohooo uswahili
 
Back
Top Bottom