Hii Betting Industry wanatuchezea!

Hii Betting Industry wanatuchezea!

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,989
Reaction score
4,163
Mimi naamini kabisa kampuni za betting zote duniani ni za mtu mmoja au system inayoongozwa na genge maalumu wanaoelewana. Na bet zote zinazofanyika zinaonekana kwenye system zao.
Nasema hivyo kwa sababu sports industry inalipa sana kuliko industry zote duniani, na wanajua kabisa kufanya blunder kwenye games wanapoona wabetiji wameelekea mfano kwa Manchester City, au kwa Arsenal au kwa Barcelona au team yoyote ambayo ina uhakika wa kushinda basi order inatoka kwa wachezaji au referee kulegeza ili kubadilisha matokeo la sivyo watapata hasara kubwa kuwalipa wabetiji. Haiwezekani team zote kubwa jana zife maana yake mikeka kibao jana imechanwa. Hivyo ndo ninavyoona. Huwa najiuliza hizo pesa za usajili na za kuwalipa wachezaji mabilioni zinatoka wapi nyingine kwa wabetiji.
 
jana nimelamba laki saba na ishirin....kwa mtaji wa buku mbili...laki tatu nimemuingizia dogo kwenye acc yake...hana boom...laki mbili nimemtumia mother...nyingine nimeweka..lyf linasonga..
 
ukileta uwoga kwenye maisha...na akili ikawa inawaza kila kitu ni utapeli...huwez toboa...mambo yamebadilika sna...inakubidi utembee na mabadiliko..
 
jana nimelamba laki saba na ishirin....kwa mtaji wa buku mbili...laki tatu nimemuingizia dogo kwenye acc yake...hana boom...laki mbili nimemtumia mother...nyingine nimeweka..lyf linasonga..
Kula kupo, lakini kuliwa ni kwingi kuliko kula

USIKATE TAMAA LAKINI KUMBUKA TAMAA MBAYA
 
Je hizo team hazitaki kupanda daraja,hazitaki ushindi?
 
Je hizo team hazitaki kupanda daraja,hazitaki ushindi?
Achana nae mkuu...maneno ya wakosaji hao...maisha ni kamali...akaweke fedha bank ikifilisika apewe 1.5 m...hata kama alikuwa na zaid ya hyo...
 
Ukitaka kutafuna vizuri hela ya bet usiwe na tamaa ya odd 10, tafuta mbili tu kila siku.
Epuka kubetia magoli nara kwa mara hasa hizi timu maarufu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom