wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,013
- 27,263
Wapo waliosema ni nguvu ya soda lakini mpaka sasa imekuwa sio soda tena imekuwa bia bado kama ni bia haijajulikana ni bia ya aina gani maana kadri siku zinavyoenda wasikilizaji na wachezaji wameanza kisikiliza na kucheza kila alieingia ukumbini ile furaha ya mziki hawaifurahii tena hapo sijui shida ni mziki mbovu au ni d.j ameweka mziki mpya zaidi watu hawauelewi,,