Hii aina ya interview jamani ni udhalilishaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii aina ya interview jamani ni udhalilishaji

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by The Dude, Mar 20, 2012.

 1. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wadau,nimetoka kuongea na ndugu yangu ambaye ameshiriki kwenye mchakato wa interview katika sekta moja nyeti sana nchini.

  Kilichonistua ni kuwa intavyuu yenyewe ni ya ajabu sana
  1. Kwanza;ilifika sehemu wakaingia kwene chumba wakiwa watupu kabisa kila mmoja.Na kisha walikuwa wanalazwa kitandani na kuamshwa hisia zao ili uume usimame. Kama usiposimama analetwa mwanamke mrembo na kukupapasa kuhakikisha kweli wewe ni rijali.

  Kingine ni kuwa,ukiwa uchi hivo unaambiwa inama,kisha unapigishwa chafya ama kelele kwa nguvu,huku kwa nyuma mtu anaangalia njia yako ya haja kubwa..lengo ni kuangalia kama umewahi kujihusisha na ngono ya kinyume na maumbile(kukameruniwa)..ikirespond kwa namna fulani wao wanajua kuwa wewe ni shoga so huna ajira.

  Pia wanakupima magonjwa yote hadi ukimwi na kukupa majibu. Ukifuzu stage zote hizo na nyinginezo kali kweli ndio unapata ajira.

  Huyo ndugu yangu amepitia stage zote hizo za intavyuu,ila tu anadai wamemnyima kazi kwa sababu ana matatizo ya kifua chronic.
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Dah wako sahihi ila sema tu kwenye kupima Ukimwi ndo wanakosea coz yahitaji utayari wa mtu mwenyewe au kama wakikupima basi hawakutakiwa kukupa majibu kwa kuwa hukipanga kupima....
  Mambo mengine ni ya kawaida kwa kuwa watakuwa na uzoefu wa kukutana na mashoga....
  Hivi unajua mwanaume hanisi ni km mwanamke? Ofisi haiendi kabsaaaaaaa
   
 3. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwani hakuna njia nyingine mpaka wakugeuze,wakuinamishe na kuangalia njia yako ya haja kubwa? Wewe uko okay kabisa kufanyiwa hivo tena na wanaume wenzako?
   
 4. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwani hakuna njia nyingine mpaka wakugeuze,wakuinamishe na kuangalia njia yako ya haja kubwa? Wewe uko okay kabisa kufanyiwa hivo tena na wanaume wenzako??
   
 5. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,751
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Niliwahi kufanya interview moja nikaulizwa A level umesoma masomo gani?Nikajibu HKL jamaa si akaniambia nianze kumtungia sentensi zenye Kirai na Kishazi.Just imagine with ma LLB!!
   
 6. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Uliweza?Afu wakakupa ajira ama?
   
 7. Bosi Michembe

  Bosi Michembe JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hii ni Jwtz hamna kumung'unya maneno mkuu.
   
 8. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,930
  Likes Received: 1,462
  Trophy Points: 280
  niliwahi kusikia story inayoendana na hii huyo mtu alipiga usaili wa kuingia jeshini,kuwa uyaone/usikie!
   
 9. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mh mi sisemi ni wapi ila it is shocking kiukweli
   
 10. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Sina mauzoefu na hii maneno ya kumanuana hadi maeneo finyu. So niko mitaa ya mbele.
   
 11. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mitaa ya mbele ndo ipi exactly?
   
 12. S

  Skype JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  JWTZ hakuna kubembelezana, ukweli ni kwamba kama ni mwanaume lazima uwe rijali.
   
 13. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mh nimekubali, huo usaili ni kiboko. Lakini hizo taratibu zao za usaili hazipangani na haki za binadamu kweli?
   
 14. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  He he he heee KIRAI na KISHAZI...
   
 15. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Inabidi washtakiwe kwenye koti za kimataifa. Mtu akijaza fomu anatakiwa kusaini kuwa ameeleza ukweli eehh akidanganya basi ndio wanafata taratibu zao walizoweka.

  Hii inasikitisha sana kwangu mimi. Yaani nikijua ndugu yangu amepitia hii itaniuma, ni bora mtu uondoke useme kazi hutaki.

  Sasa kwanini hutaki kusema ni wapi? Unaogopa nini? Au ni yeye tu aliekosa kazi hiyo?

  Saidia wengine wa mbele wasiteseke na kudhalilishwa hivi
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hii ni interview au wanatengeneza porn movies?????
   
 17. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hahahaha AD umenipa raha
   
 18. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #18
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Nimeshindwa kuelewa ...
   
 19. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  hiyo kali kweli lakini pia kuna baadhi ya nchi za ulaya wanafanya hivyo kama Waingereza ukitaka kujiunga na jeshi lazima utapimwa vipimo kama hivyo. kukukuvua nguo uchi wa nyama na wanamwita Daktari anakuangalia sehemu ya nyuma kama una maradhi ya Bawasiri,au wewe ni shoga, au kama una mardhi ya ngiri,au maradhi yoyote yale ndipo ukipasi waweza kujiunga na jeshi huko Uingereza. mkuu hili jina laB-52 umelipata wapi? hilo jina mimi ndilo lilikuwa langu wakati wa vita vya AFaghanistan vita vya Amerika kumtafuta Mzee Osama bin Laden unajuwa nini maana ya ( B-52 )? hebu ona jibu hapa chini ni ndege kubwa inayobeba Mabomu na kuruka juu sana ndege ya Kimarekani hebu ona hapa chini

  Boeing B-52 Stratofortress

  From Wikipedia, the free encyclopedia


  "B-52" redirects here. For other uses, see B52 (disambiguation).
  "BUFF" redirects here. For other uses, see Buff.
  [TABLE="class: infobox, width: 1"]
  [TR]
  [TH="colspan: 2, align: center"]B-52 Stratofortress[/TH]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 2, align: center"][​IMG]

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 2, align: center"]A B-52H from Barksdale AFB flying over the desert[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Role[/TH]
  [TD]Strategic bomber[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Manufacturer[/TH]
  [TD]Boeing[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]First flight[/TH]
  [TD]15 April 1952[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Introduction[/TH]
  [TD]February 1955[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Status[/TH]
  [TD]Active: 85[SUP][1][/SUP]
  Reserve: 9[SUP][1][/SUP][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Primary users[/TH]
  [TD]United States Air Force
  NASA[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Produced[/TH]
  [TD]1952–62[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Number built[/TH]
  [TD]744[SUP][2][/SUP][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Unit cost[/TH]
  [TD]B-52B: US$14.43 million[SUP][3][/SUP]
  B-52H: US$9.28 million (1962)
  B-52H: US$53.4 million (1998)[SUP][1][/SUP][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  The Boeing B-52 Stratofortress is a long-range, subsonic, jet-powered strategic bomber. The B-52 was designed and built byBoeing, who have continued to provide support and upgrades. It has been operated by the United States Air Force (USAF) since the 1950s. The bomber carries up to 70,000 pounds (32,000 kg) of weapons.[SUP][4][/SUP]
  Beginning with the successful contract bid in June 1946, the B-52 design evolved from a straight-wing aircraft powered by sixturboprop engines to the final prototype YB-52 with eight turbojet engines and swept wings. The B-52 took its maiden flight in April 1952. Built to carry nuclear weapons for Cold War-era deterrence missions, the B-52 Stratofortress replaced the Convair B-36. Although a veteran of a number of wars, the Stratofortress has dropped only conventional munitions in combat. ItsStratofortress name is rarely used outside of official contexts; it has been referred to by Air Force personnel as the BUFF (Big Ugly Fat/Flying ****er/Fellow).
  The B-52 has been in active service with the USAF since 1955. The bombers flew under the Strategic Air Command (SAC) until it was disestablished in 1992 and its aircraft absorbed into the Air Combat Command (ACC); in 2010 all B-52 Stratofortresses were transferred from the ACC to the new Air Force Global Strike Command (AFGSC). Superior performance at high subsonic speeds and relatively low operating costs have kept the B-52 in service despite the advent of later aircraft, including the Mach 3 North American XB-70 Valkyrie, the variable-geometry Rockwell B-1B Lancer, and the stealthy Northrop Grumman B-2 Spirit. The B-52 marked its 50th anniversary of continuous service with its original operator in 2005 and after being upgraded between 2013 and 2015 it will serve into the 2040s.[SUP][N 1]
  [/SUP]
  [​IMG]

   
 20. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #20
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hehe ndo kazi hizo peleka application na wewe
   
Loading...