Hii ACT-Wazalendo ya Zitto, Jussa, Tundu Lissu na Fatma Karume itatisha kweli

Mabeberu naKina Sultan Jamshed wanakamilisha mikakati yao ya Lissu kuwa Mgombea wa Urais na Mgombea mwenza atakuwa huyu Fatma

BOT na Immigration wawe makini kuzuia Marobota na Viroba vya fedha vinavyoratibiwa kuingizwa Nchini kumtingisha Rais wetu

Ccm na Wanyonge na ACT na Mabeberu wao
Hahahaaaaaa....... Pohamba wewe ni mnyonge?!
 
Nimemsikia Fatma Karume kupitia kipindi cha BBC Dira ya Dunia akisema baada ya kufanyiwa figisu na kusimamishwa uwakili anatarajia kuingia kwenye siasa bila kutaja atajiunga na chama gani.

Ndipo sasa natafakari kama Zitto amefanikiwa kumshawishi Tundu Lissu kujiunga ACT Wazalendo na kama atafanikiwa kumleta Shangazi na tayari anaye Jussa basi hiyo combination itakuwa ni moto wa kuotea mbali.

Maendeleo hayana vyama!
Chui wa makaratasi
 
Hatari kwenye jambo gani? Ukitaka kuwa na chama chenye nguvu hapa nchini unaitaji kuwa na moja ya mambo matatu tu.

Sapoti ya vyombo vya ulinzi na usalama, kama huna basi uwe na sapoti ya watu au chama chenye sapoti ya vyombo vya ulinzi na usalama, kama huna basi uwe na Sapoti kubwa kubwa sana ya uma' iwe kubwa kweli si ya mitandaoni, Yaani sapoti kubwa ukisema kesho tusifanye kazi basi watu wanabaki nyumbani.

Ukikosa hayo hapo juu basi hayo mengine yooote ya ugwiji ubabe ukamanda umafia au lolote lile halitakupa nchi/utawala Ila utapata kiki. Utajulikana.
 
Nimemsikia Fatma Karume kupitia kipindi cha BBC Dira ya Dunia akisema baada ya kufanyiwa figisu na kusimamishwa uwakili anatarajia kuingia kwenye siasa bila kutaja atajiunga na chama gani.

Ndipo sasa natafakari kama Zitto amefanikiwa kumshawishi Tundu Lissu kujiunga ACT Wazalendo na kama atafanikiwa kumleta Shangazi na tayari anaye Jussa basi hiyo combination itakuwa ni moto wa kuotea mbali.

Maendeleo hayana vyama!
keep on dreaming...!!
 
Ni jambo jema.

We want ccm out.
 
Hivi inapanda akilini kivipi .... pwaa, nchi wanapewa hawa waendeshe! Kweli? Yupi bora, jini ulijualo au lile jingine? Destiny ya nchi na watu wake haiwezi kufanyiwa hii kitu inaitwa EXPERIMENT hata kidogo. Sana sana jukwaa liwepo watapike nyongo zao .... na huenda iko siku watatoka jando!
 
Njoo hapa city pub nikununulie supu upate nguvu za kuramba miguu hao mataahira wenzenu
Tafuta maarifa kwa Kitabu maridhawa cha Dk. Slaa. Kwa Mbeya nione mimi 0759829015. Kataa mganga dawa yake tumia.
 
Nakuona kwenye ubora wako
Hivi inapanda akilini kivipi .... pwaa, nchi wanapewa hawa waendeshe! Kweli? Yupi bora, jini ulijualo au lile jingine? Destiny ya nchi na watu wake haiwezi kufanyiwa hii kitu inaitwa EXPERIMENT hata kidogo. Sana sana jukwaa liwepo watapike nyongo zao .... na huenda iko siku watatoka jando!
FB_IMG_1493038526009.jpeg
 
Duh kumbe, ndio maana anasema haoni mtu, atakae weza kuwa Rais baada yake. Mmeanza kuelewa sasa, na bado subilini jua likolee.
Hiyo itakuwa timu hatari sana . Tuombe iwe hivyo! Chadema tumwachie Mbowe maana anajimilikisha na kujifanya hakuna kama yeye. Sifa mojawapo ya dikteta ni kuwaaminisha watu kuwa hakuna kama yeye .
 
Shangazi atakuwa na wakati mgumu wa kuchagua ajiunge chama gani. ACT Wazalendo yupo Mansour Yusuph Himid. Nafikiri anamshawishi sana aende huko wakafanye siasa pamoja. Chadema wapo Halima Mdee na Esther Bulaya. Hao watamshawishi aende huko ili waweze kupata utamu pamoja kwa tuo!
 
Mabeberu naKina Sultan Jamshed wanakamilisha mikakati yao ya Lissu kuwa Mgombea wa Urais na Mgombea mwenza atakuwa huyu Fatma

BOT na Immigration wawe makini kuzuia Marobota na Viroba vya fedha vinavyoratibiwa kuingizwa Nchini kumtingisha Rais wetu

Ccm na Wanyonge na ACT na Mabeberu wao

Unaumwa sana na Maalim Seif mkuu
 
Back
Top Bottom