Hii ACT-Wazalendo ya Zitto, Jussa, Tundu Lissu na Fatma Karume itatisha kweli

Yohana Mbatizaji unaota mchana CDM inakulaza macho.
Makamanda wakuu mmewapa kesi kuyumbisha chama mmeshindwa.
Lisu atarudi akamate majukumu yake na Fatma ana maamuzi yake!!
MaCCM matumbo moto!
 
Nimemsikia Fatma Karume kupitia kipindi cha BBC Dira ya Dunia akisema baada ya kufanyiwa figisu na kusimamishwa uwakili anatarajia kuingia kwenye siasa bila kutaja atajiunga na chama gani.

Ndipo sasa natafakari kama Zitto amefanikiwa kumshawishi Tundu Lissu kujiunga ACT Wazalendo na kama atafanikiwa kumleta Shangazi na tayari anaye Jussa basi hiyo combination itakuwa ni moto wa kuotea mbali.

Maendeleo hayana vyama!
Umefikiria kichawi sana
 
Hiyo itakuwa timu hatari sana . Tuombe iwe hivyo! Chadema tumwachie Mbowe maana anajimilikisha na kujifanya hakuna kama yeye. Sifa mojawapo ya dikteta ni kuwaaminisha watu kuwa hakuna kama yeye .
Mumuache baba wa watu alikipigania chama chake nanyie anzisheni vya kwenu
 
Hiyo itakuwa timu hatari sana . Tuombe iwe hivyo! Chadema tumwachie Mbowe maana anajimilikisha na kujifanya hakuna kama yeye. Sifa mojawapo ya dikteta ni kuwaaminisha watu kuwa hakuna kama yeye .

Hii ni moja ya hadidu za rejea tokea kwa wale wasiojulikana. Unapima maji siyo?
 
Watuambie hivi Zitto anapata wapi hela ya kiendesha chama? Alipata wapi hela ya kiweka wagombea kila jimbo wakati chama hakina hata ruzuku?/
Zile land xruiser zilikuwa za serikali nani asiejua.

Acheni ujinga bana.
mnajaribu kuibomoa CDM kwa nguvu zote lakini bado mnafeli.
 
Back
Top Bottom