High voltage Transmission Lines

High voltage Transmission Lines

Electromagnetism

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
482
Reaction score
127
Habari zenu wana tech, Nilikuwa na maswali machache ambayo ningeomba ufafanuzi wake, kwanza Katika kusafirisha umeme mkubwa yani High voltage kuanzia 33 au 66KV tunaweka neutral? yani kunakuwa na conductor nne je neutral ya kazi gani pili katika umemw mkubwa kabisa kama 132kv ambapo tunatumia Metal tower au pylons kwa jina lingine nimekuwa nikiona conductors tano Naelewa pale tatu ni three phase je hizo mbili? kama ni neutral na earthing ipi kazi yake?
 
Hio ni kama mwavuli, kwa ajili ya ku-protect line yako na radi. Hio inatembea na line kuikinga na matatizo ya lightining.
 
Hio ni kama mwavuli, kwa ajili ya ku-protect line yako na radi. Hio inatembea na line kuikinga na matatizo ya lightining.
ina linda line na radi au mwanga kvp ningeomba maelezo ya kitaalamu mana mie pia ni mwanafunzi wa course hii
 
lazima ufahamu kwamba Umeme una stages kubwa almost 3
1. Generation
2. Transmission
3. Distribution

Mara nyingi umeme unakuwa generated kwenye voltage kama 6.6 KV au 11KV na kuwa kusafirishwa kwa voltage kama 110KV, 132 KV, 220KV au hata 700KV.. Kutegemea na system ya nchi husika.. hizo transimission line zimebebwa na 3 phase 3 line system.. Sasa kwenye stage ya transmission hapo ndo unapoona 3 conductors.. Umeme unapotoka kwenye transmission stage unapitia kwenye substation then unakuwa stepped down let say from 132KV to 66/33KV(Kutegemea na substation) baada ya hapo sasa ndo unaenda kwenye mambo ya distribution system.. Kama umeshachunguza kwenye transformers kama za 200 KVA Hivi..(11KV/400V) Zinaingia conductors 3 kwenye primary side but zinatoka 4 conductors kwenye secondary side.. Hiyo conductor ya 4 ndo neutral yenyewe

kuhusu hilo suala la 5 conductors.. Hizo conductor 2 za pale juu kabisa zinaact as lighting arresters...

I hope umenipata japo kidogo...

maelezo zaidi kama ukipata muda
tafuta kitabu kinaitwa principles of power system by somebody MEHTA

usipokipata niambie nijue itakipataje...
 
Habari zenu wana tech, Nilikuwa na maswali machache ambayo ningeomba ufafanuzi wake, kwanza Katika kusafirisha umeme mkubwa yani High voltage kuanzia 33 au 66KV tunaweka neutral? yani kunakuwa na conductor nne je neutral ya kazi gani pili katika umemw mkubwa kabisa kama 132kv ambapo tunatumia Metal tower au pylons kwa jina lingine nimekuwa nikiona conductors tano Naelewa pale tatu ni three phase je hizo mbili? kama ni neutral na earthing ipi kazi yake?

Kwanza naomba nikujulishe kitu kimoja kuhusu umeme.
Kuna tofauti kubwa kati ya usafirishaji"transimission" na usambazaji"distribution".
Unaposafirisha umeme"transimission" unamaanisha kuutoa pale unautengeneza mpaka kwenye substation, kama una uelewa kiasi basi najua utakuwa unaelewa kwanini huwa unasafirishwa kwa kiwango kikubwa i.e 132kv, 112kv etc.katika hii stage huwa inatumika "delta" connection ambayo inanyaya tatu tu,kwanini?? Hii ni kwasababu delta connection huwa inaongeza voltage kwahiyo current inakuwa ndogo so transimission inakuwa cheap na effective. Ndio sababu kwenye transimission towers utakutana na alluminium&iron alloy kama main conductor pamoja na ceramic au glass insulator zao.
Hizo insulator mbili za ziada zina act kama lightining au surge arrester na zote zipo grounded kwa kila tower kwa maana ya kwamba panapotokea power surge basi extra power yote iwe netrallized by grounding.

Swala la pili ni kuhusu usambazaji"distribution" hapa umeme unasambazwa kutoka kwenye sabstation kwenda kwa watumiaji wakubwa ambao huitwa"primary distribution/consumers"hasahasa viwandani ambapo kwa TZ zamani ilikuwa 11kv lakini sasa hv naona wanabadilisha na kuweka 33kv.
Pia husambazwa kwenda kwa watumiaji wadogo"secondary distribution/consumers", hapa lazima ushushwe kwenye substation nyingine ili upunguzwe mpaka 11kv hapa ndipo utakapoona nyaya nne zinatoka hii inaitwa "star connection" ambayo inatupa voltage chini lakini current kubwa kitu ambacho ni sahihi kwa watumiaji wadogo.
Hope utakuwa umeelewa kidogo
 
Back
Top Bottom