Hivi jamani, mlisha wahi kuwaza kua Guest house zinaweza kua na hidden Cameras?. Nakusudia kusema kua, wengi wetu tuna jiachia vya kutosha Kunako Guest house. Suppose they have hidden cameras in the rooms. Siwatakua wameingilia privacy zetu vibaya saaana. Ni mawazo tu!
Mbona huwa tunafanya mabo ya kawaida sana tuu, si ni nyumba za kulala wageni tuu au
Sometimes I go with my wives katika ratiba zetu za kutoka out, na kubadilisha mandhari. Si unajua moja ya sababu ya sex za ndoa kupoteza mvuto ni kutobadilisha mandhari ya malavi davi.
Sometimes I go with my wives katika ratiba zetu za kutoka out, na kubadilisha mandhari. Si unajua moja ya sababu ya sex za ndoa kupoteza mvuto ni kutobadilisha mandhari ya malavi davi.
!
!
duh!kwa kutumia hela yangu vizuri huwaga naingia katika lodge mida ya saa sita mchana ili nikae mpaka kesho saa tatu, sasa si watakuwa wamechukua tamthiliya nzima?????
Yeeeeuwi
Solution ni kuacha uzinzi kama mimi.
Sometimes I go with my wives katika ratiba zetu za kutoka out, na kubadilisha mandhari. Si unajua moja ya sababu ya sex za ndoa kupoteza mvuto ni kutobadilisha mandhari ya malavi davi.
Kuingia Guest House sio lazima ukafanye uzinzi.
Ni milangoni zaidi sio ndani ya rooms.Kwenye hoteli kubwa zipo ila is security reasons only not invasion of the right to privacy