time theory
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 766
- 640
nitakuwa nimemwaribia nini mkuu? nini cha ajabu nilichoandika hapa
Tuseme mi ndo rafiki yako,kazi yangu ambayo ni ya siri ambayo hata wewe hukupaswa kuijua kwanini umeitaja kwenye mitandaoooooo????
Kutotumia zawadi hizo ndio sababu ya kufikiria hayo?
Rest in peace mdada....
Kuna thread moja ilikuja hapa, nikiunganisha na hii naanza kuamini
Ina maana huyo kijana anaamini mama yake ni mchawi? Anafikiria hivyo kwa vigezo gani labda? Halafu na yeye ni mburula, samahani! Hivi unapopeleka mchumba mahali, unatambulisha na umri kwani wanataka kumsomesha? Hilo suala la umri lilifikaje kwa wazazi na nyie marafiki?
muambie ajifunze kujisimamia mwenyewe. Sio kila details za mwenza ni za kujadili na watu. Pili amjue Mungu anaemuamini. Watu wangapi wanakufa kwa kuumwa kichwa ama homa? Kama mama yake ndio amemuua huyu dada, basi asihangaike kuoa tena manake mama akikorofishwa tena basi ajue na yeye atakufa.
ni pamoja na reaction aliyoionyesha mama juu ya binti..
yaliyopita si ndwele agange yajayo na mama ni mama tu hata kama kweli yeye ni mhusika,ni bora akajitahidi kupotezea tu coz inaweza kumtia uchungu zaidi,boraa aanze upya atafute mwingine maisha yaendelee
#teamrafiki mkuu kuna shda??ile team yenu inaitwaji?
dah inauma lakini.RIP Bibi harusi mtarajiwa
Mungu akurehemu uko ulipo
Hata mim naweza kumuhis mama lol ukikutana na wa mamamkwe wa hiv inabidi uwe mjanja kumzidiu yeyee