Hi

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
449
Reaction score
140
Utafiti umebaini kuwa wakristo tunahiari kusafiri na SIMU kuliko BIBLIA!!, Tunaona bora kusoma SMS kuliko neno la MUNGU,...inakuwaje ununue SIMU ya elfu 50 ushindwe kununua BIBLIA ya elfu 10?, BIBLIA ya mkononi haihitaji CHARGE, VOUCHER na NETWORK lakini hatubebi...! MKRISTO BADILIKA! pia imebainika kuwa tunapolala tunaweka SIMU karibu sana kuliko BIBLIA, na tunapoamka tunatafuta SIMU badala ya BIBLIA.., BADILIKA leo..tuma sms hii kwa wakristo 15 wasiisahau biblia.
 
Nielekeze option ya kutuma hii sms huku jf tafadhali.
 
Tofautisha matumizi ya biblia na simu wewe
 
asante sana... nimeupenda ujumbe wako!

ila kumbuka.. biblia inasema, matendo yako ndio yatazamwe!


sorry kwa video kama haiendani na mada!
 
Last edited by a moderator:
daaah sasa utatumia biblia kutuma sms? siku izi simu zina biblia ndani
 
Ujumbe mzuri ila njian ya ufikishaji sio...
Biblia na simu ni vitu viwili tofauti....
Simu unaweza kusoma biblia..
Na kusoma biblia bila kuyaishi maandiko ni bure

Asiyefanya kazi na asile tusipotumia simu kwa ukaribu ktk nyanja za maendeleo itakuweje??
 
Ujumbe mzuri sana ila ungeleta maana zaidi kama ingelikuwa hivi kwamba tutumie simu zetu katika mema na si kutupelekea
kwenye maovu, maana siku hizi simu zina bible app mtu unaweza kujiunga na vitu mbalimbali na kila siku ukawa unapata
neno la kukujenga kiroho, pia kuna masomo mbalimbali yahusuyo kiroho, kiuchumi na kijamii.
 
Kumbe naweza kuagiza mzigo wa biashara kwa kutumia biblia badala ya simu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…